When the day of reckoning comes, every mazafaka will be held to account for his actions!Maadhimisho ya mwaka huu ni ya kihistoria kwani yanasherehekea Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) tangu kuanzishwa kwa maonyesho haya.
Kuna kitu kinajiinua hapa.. Kutokana na kuwepo tetesi/maandalizi ya maandamano ambayo ni haki kikatiba
Vitisho vimeshaanza kutolewa kila kona.. Ni wazi kuna maandalizi ovu yanaandaliwa na kuratibiwa na "watu wasiojulikana" ili kukabiliana na waandamanaji
Kuna hiki kikosi kinachojiita mbwamwitu. Ni wazi kimejiandaa kwa vita ama kusababisha madhara makubwa kwa waandamanaji
Lakini je hiki kikosi sio tusi na dhihaka kwa vyombo vyetu vya usalama?
Kwamba haviaminiwi(ki)??
Ni nani wana kifadhili?
Ni wazi kitapewa silaha.. Zitakuwa zimetoka wapi?
Ni wazi kiko mafunzoni! Ni mafunzo ya aina gani?
Je kitakapoanza kuumiza waandamanaji na vyombo kuongilia kati ama kugawanyika nini kitatokea?
Je waandamanaji nao watakapoamua kujihami na kujibu kwa nguvu ileile nini kitatokea?
Wasikilizeni hapaView attachment 3612541
pwagu anawapiga kamba mapwaguzi 🐒Maadhimisho ya mwaka huu ni ya kihistoria kwani yanasherehekea Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) tangu kuanzishwa kwa maonyesho haya.
Kuna kitu kinajiinua hapa.. Kutokana na kuwepo tetesi/maandalizi ya maandamano ambayo ni haki kikatiba
Vitisho vimeshaanza kutolewa kila kona.. Ni wazi kuna maandalizi ovu yanaandaliwa na kuratibiwa na "watu wasiojulikana" ili kukabiliana na waandamanaji
Kuna hiki kikosi kinachojiita mbwamwitu. Ni wazi kimejiandaa kwa vita ama kusababisha madhara makubwa kwa waandamanaji
Lakini je hiki kikosi sio tusi na dhihaka kwa vyombo vyetu vya usalama?
Kwamba haviaminiwi(ki)??
Ni nani wana kifadhili?
Ni wazi kitapewa silaha.. Zitakuwa zimetoka wapi?
Ni wazi kiko mafunzoni! Ni mafunzo ya aina gani?
Je kitakapoanza kuumiza waandamanaji na vyombo kuongilia kati ama kugawanyika nini kitatokea?
Je waandamanaji nao watakapoamua kujihami na kujibu kwa nguvu ileile nini kitatokea?
Wasikilizeni hapaView attachment 3612541
it might be hawa ni content creators ambao makonda alipewa 2 billion kuwaandaa na kwawezeshaLakini je hiki kikosi sio tusi na dhihaka kwa vyombo vyetu vya usalama?
huyu ana laana ulimwengu kila kitu kimeunganika na kingine.Mwingine huyu hapaView attachment 3612542
Okay poapoaImepata changamoto kidogo mkuu Ila ikikaa sawa nitakucheki
Hapa nakupa heshima zote.it might be hawa ni content creators ambao makonda alipewa 2 billion kuwaandaa na kwawezesha
Hicho kinyago katika picha ya pili, ndicho kinchoitwa 'Magoti'?Imepata changamoto kidogo mkuu Ila ikikaa sawa nitakucheki
🤣🤣🤣🤣pwagu anawapiga kamba mapwaguzi 🐒
Hicho kinyago katika picha ya pili, ndicho kinchoitwa 'Magoti'?
Hawa siyo content creators, hawa ni wajinga wanaotumiwa na Samia kwa kusingizia kuwa anapigwa vita kwa sababu ni mwislam. Hawa watu ni wapumbavu wasichojua wakifanyacho. Wako wengi kweli kweli na mpaka Kikwete yupo kwenye kundi.it might be hawa ni content creators ambao makonda alipewa 2 billion kuwaandaa na kwawezesha