Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.
Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?
Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.