Kuelekea 2020! Je ni makundi ya kisiasa yenye maslahi au wananchi waliomchoka JPM?

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,768
Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.

Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?

Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Mada kama hii ingekuwa tamu kama ungeainisha hiyo miradi ya maendeleo.
 
Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.

Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?

Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.
Yote mawili
 
Mbona kawaida tu hiyo.hata mwl Nyerere hakuwahi kupata %usihofu huyu bado tunaye sana tu.
 
Amesafisha nchi kwa kasi sana' lazima atengeneze watu wasiomtaka. Mfano:
Wenye vyeti feki na walionunua majina.
Baadhi ya Wafanya biashara wa kawaida na wakubwa
Wastaafu
Baadhi ya wanasiasa wakubwa. Hawa wote wana watu nyuma yao hadi vijijini ambao kwa namna moja au nyingine wameathirika sana na usafishaji wa kasi wa nchi. Unakutana na bibi analalamika makufuli kamtumbua mwanangu sasa sina hata ela ya umeme nyumbani.
Pamoja na safisha safisha Ila Raisi alitakiwa kukumbuka kuwa yeye ni raisi wa wote raisi wa wahalifu, raisi wa waliokosea, na wengine wote. Ni raisi wa wenye vyeti feki, raisi wa watukanaji n.k ukilitanguliza hili utasafisha nchi kwa raha sana. Mfano vyeti feki na walionunua majina pamoja na makosa yao ilikuwa hakuna haja ya kuwaambia moja kwa moja kuwa hampati hata thumuni. Ondokeni. Maamuzi kama haya lazima yataleta impact hata kwake mwenyewe japokuwa hawakutakiwa kweli kuwepo kazini. Wangeweza kuondolewa kwa mpango ambao hata wao wenyewe watajutia makosa badala ya kupata hasira na kujenga chuki na serikali. Kufuta fao la kujitoa na kuweka 25 % inaongeza idadi ya wenye hasira dhidi ya serikali n.k Ila anafanya mambo mazuri pia kwe sekta zingine.
 
Hana zuri hata moja labda kumbeba Bashite pamoja kuwa ana vyeti feki
 
Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.

Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?

Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.
Jiwe aondoke na akafie mbele huko, tumechoka kuongozwa na jitu lishambalishamba hivi!
 
1.wakulima
2.wafanyakazi
3.wafanyabiashara
3.wasanii
4.CCM
5.Upinzani
6.Wavuvi
7.Wazazi na walezi
8. Wahanga wa tetemeko
9.Wahanga wa kuvunjiwa nyumba
10. Wenye kuhangaika kupata japo mlo mmoja kwa siku
11. Vijana waliomaliza chuo na hawana ajira (hela zimeenda kununua ndege)
12. waliopigwa redundancy kwa sababu ya biashara na ofisi yingi kufirisika
13.Waliofukuzwa vyeti feki huku Bashite akipeta
14.Wanaotaka katiba mpya

yaani mwaka 2020 patachimbika aisee
 
Kiburi,dharau na visasi vijavyo haribu umoja na ustawi wa taifa letu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom