Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,280
- 8,495
Ikiwa imebaki mwaka 1 1/2 kufikia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, CCM imeanza maandalizi ya kujipatia kiasi kikubwa cha pesa za kufanikisha uchaguzi kutoka Hazina.
Mikakati hiyo imeanza kwa kumpeleka ndugu Mataka mkurugenzi NIC na Peter Mayunga Noni anayetuhumiwa kuiba/ kufanikisha wizi BoT-EPA- KAGODA (Rostam, Maregesi, Noni = Sanze) kuteuliwa mkurugenzi TIB.
Waliofuatilia hotuba ya JK jana mjini Dodoma akiongea na wazee alisema zaidi ya TZS 20 bilioni zitaingizwa TIB. Pia kuna mpango wa kumwaga pesa NIC mpango ulioelezwa na PM. Fedha hizi zote zitashuhudiwa zikipita tu katika Taasisi hizi kuelekea kufanikisha ushindi wa Tsunami wa CCM 2010.
Ndugu waTz jiandaeni kushuhudia wizi mkubwa mwingine kupitia TIB na NIC