Elections 2010 Kuelekea 2010: CCM yajiandaa Kuchota TIB na NIC

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,279
8,494
Ikiwa imebaki mwaka 1 1/2 kufikia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, CCM imeanza maandalizi ya kujipatia kiasi kikubwa cha pesa za kufanikisha uchaguzi kutoka Hazina.

Mikakati hiyo imeanza kwa kumpeleka ndugu Mataka mkurugenzi NIC na Peter Mayunga Noni anayetuhumiwa kuiba/ kufanikisha wizi BoT-EPA- KAGODA (Rostam, Maregesi, Noni = Sanze) kuteuliwa mkurugenzi TIB.

Waliofuatilia hotuba ya JK jana mjini Dodoma akiongea na wazee alisema zaidi ya TZS 20 bilioni zitaingizwa TIB. Pia kuna mpango wa kumwaga pesa NIC mpango ulioelezwa na PM. Fedha hizi zote zitashuhudiwa zikipita tu katika Taasisi hizi kuelekea kufanikisha ushindi wa Tsunami wa CCM 2010.

Ndugu waTz jiandaeni kushuhudia wizi mkubwa mwingine kupitia TIB na NIC
 
Sio hayo tu....CCM inajiaandaa kuwaibia wananchi shule zao walizojenga kipindi kile tukiwa na chama kimoja chini ya Jumuiya ya wazazi! Wanataka shule zile eti waziuze kwa serikali now....huu si wizi mchana kweupe wakuu?
 
Hii nchi inaweza kupinduliwa sasa.
 
Hi all of you this is my first time to join with you and this is how TANZANIA is let see and watch

Chama cha Ma.........
 
Hi all of you this is my first time to join with you and this is how TANZANIA is let see and watch

Chama cha Ma.........

Karibu mkuu.....umekutana uso kwa uso na issues....please tupe mchango wako hapa!

Cheers
 
Bill,

TIB na NIC ni kweupeee sana na wanajua tunawamulika, mmepumbazwa ku concetrate huko huku fedha zikitoka tena HAZINA....

Kalaghabao
 
Bill,

TIB na NIC ni kweupeee sana na wanajua tunawamulika, mmepumbazwa ku concetrate huko huku fedha zikitoka tena HAZINA....

Kalaghabao

FP,

Ni kweli tunaweza piga chenga ya mwili on this, lakini kwa swala la TIB......with Noni...20bil going in there.....2010 nearing...hapana tukikaa macho lazima tupate kibaka hapa mkuu!
 
FP,

Ni kweli tunaweza piga chenga ya mwili on this, lakini kwa swala la TIB......with Noni...20bil going in there.....2010 nearing...hapana tukikaa macho lazima tupate kibaka hapa mkuu!

Chenga ya mwili ndo inafanywa sasa..
 
FP,

Ni kweli tunaweza piga chenga ya mwili on this, lakini kwa swala la TIB......with Noni...20bil going in there.....2010 nearing...hapana tukikaa macho lazima tupate kibaka hapa mkuu!
Basi cha muhimi ni kutoa macho kote HAZINA na TIB... tuna kaba kote...
 
Safari hii ina maana hawana mpango wa kuchota katika mifuko ya Hifadhi za jamii? Pia msisahau makampuni makubwa ya madini pia yanachangia ccm!! Ili waendelee kutuibia uatjiri wetu!!!!
 
Natumaini CAG (ambaye ameonyesha kuwa na "Guts") atapewa uwezo wa kuangalia pesa hizo za walipa kodi wa TZ. Ingawa hata yeye maji hayo ni marefu sana....
 
Back
Top Bottom