Kuelekea 12/09/2015, Angalizo Langu Kwenu

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Katika safari ya kuelekea kuchukua makombe 4 na ngao moja ya hisani msimu ujao, Simba SC ilicheza mechi zifuatazo za kukiweka sawa kikosi.

MECHI. WAFUNGAJI

1. Simba 2-1 Kombaini ya Polisi Kiiza 20, Mgosi 58
2. Simba 4-0 Black Sailor. Banda 4, Ajibu 24,
Maguli 80, Magesa 88
3. Simba 2-0 Polisi Zanzibar. Mgosi 14, Maguli 71
4. Simba 2-0 Jang'ombe Boys. Maguli 14.. 17, Samir
Omar 81
5. Simba 3- 2 KMKM. Kiiza 41, Ajibu 71... 77
6. Simba 1-0 SC Villa. Awadhi Juma 89
7. Simba 2-1 URA. Kevin 4, Murshid 89
8. Simba 0-0 Mwadui
9. Simba 0-2 JKU
10. Simba 3-1 Mafunzo. Peter 36, Said Isaa 43,
Kiiza 68
11. Simba 0-0 KVZ

Nilichokiona katika hizo mechi 11 za kirafiki.. Na maangalizo yangu kwa wapinzani wetu.

1. Simba SC imeweza kufunga goli 19.. Ambao ni wastani wa goli 1.73 kwa kila mechi.. Kwakuwa hakuna goli 0.73.. Basi Simba SC ina wastani wa goli 2 kwa kila mechi.

ANGALIZO:

Kwa kuanzia sio wastani mbaya.. Ikumbukwe ndo kwaaanza timu inaanza kuaadapt falsafa za Kocha wa Leseni A toka UEFA, Mtalaamu Dylan Kerr.. Wapinzani wetu mlio katika ya reli, muanze kutupisha, treni ishaanza safari.
2. Simba SC imeruhusu kufungwa goli 7 tu katika mechi 11 za majaribio.. Pia ikumbukwe katika hizo hizo mechi 11, haijafungwa hata goli 1 katika mechi 6.

ANGALIZO:

Sasa Great Wall of China umekamilika.. Wale mnaojiita washambuliaji wasumbufu, muwe makini mnapothubutu kusogelea ukuta huu.. msije mkalaumu sikuwaambia.

3. Katika magoli 19 tuliyofunga.. Strikers wamefunga magoli 12, Viungo wamefunga 4, Mabeki 3.

ANGALIZO:

Ile Nguvu Moja imehamia uwanjani.. Sasa kila mtu ni mfungaji.. Ukimdhibiti Kiiza, Kazimoto anatupia.. Ukimletea ukatili Mgosi, Murshid anakuabisha.

4. Katika magoli 19 tuliyofunga.. Magoli 9 tumefunga kipindi cha 1 na magoli 10 ni second half.

ANGALIZO:

Ile dhana kua kipindi cha pili, Mnyama hua anaishiwa pumzi sasa ni historia.. Tunashambulia kama nyuki.. Huku tukijilinda mithiri ya wanajeshi wa North Korea wanavyolinda mpaka wao.

Najua kuna Binadamu wataanza kusema, Ooooh Simba SC imecheza na vitimu vya Mchangani, ndo maana wameshinda mechi kibao..

ANGALIZO langu Kwenu: Katika ligi yoyote Dunia hii.. Katika pre-season timu za ligi kuu kucheza na timu za ligi madaraja ya chini au kombaini ni jambo la kawaida.. Mfano 15/072015.. Arsenal ilicheza mechi ya kirafiki na Singapore Select na kushinda 4-0.. Je hii timu ni level za Arsenal?!

................... na 12/09/2015 ifike mapema.
 
Kelele za nini,NGOJA LEAGUE IANZE NDIO UJE NA HIZO NGONJERA ZAKO.
Ubingwa vpl 2015/16 km sio Azam basi ni Young African.KAMA HUTAKI MIE SIKUB
 
Katika safari ya kuelekea kuchukua makombe 4 na ngao moja ya hisani msimu ujao, Simba SC ilicheza mechi zifuatazo za kukiweka sawa kikosi.

MECHI. WAFUNGAJI

1. Simba 2-1 Kombaini ya Polisi Kiiza 20, Mgosi 58
2. Simba 4-0 Black Sailor. Banda 4, Ajibu 24,
Maguli 80, Magesa 88
3. Simba 2-0 Polisi Zanzibar. Mgosi 14, Maguli 71
4. Simba 2-0 Jang’ombe Boys. Maguli 14.. 17, Samir
Omar 81
5. Simba 3- 2 KMKM. Kiiza 41, Ajibu 71... 77
6. Simba 1-0 SC Villa. Awadhi Juma 89
7. Simba 2-1 URA. Kevin 4, Murshid 89
8. Simba 0-0 Mwadui
9. Simba 0-2 JKU
10. Simba 3-1 Mafunzo. Peter 36, Said Isaa 43,
Kiiza 68
11. Simba 0-0 KVZ

Nilichokiona katika hizo mechi 11 za kirafiki.. Na maangalizo yangu kwa wapinzani wetu.

1. Simba SC imeweza kufunga goli 19.. Ambao ni wastani wa goli 1.73 kwa kila mechi.. Kwakuwa hakuna goli 0.73.. Basi Simba SC ina wastani wa goli 2 kwa kila mechi.

ANGALIZO:

Kwa kuanzia sio wastani mbaya.. Ikumbukwe ndo kwaaanza timu inaanza kuaadapt falsafa za Kocha wa Leseni A toka UEFA, Mtalaamu Dylan Kerr.. Wapinzani wetu mlio katika ya reli, muanze kutupisha, treni ishaanza safari.
2. Simba SC imeruhusu kufungwa goli 7 tu katika mechi 11 za majaribio.. Pia ikumbukwe katika hizo hizo mechi 11, haijafungwa hata goli 1 katika mechi 6.

ANGALIZO:

Sasa Great Wall of China umekamilika.. Wale mnaojiita washambuliaji wasumbufu, muwe makini mnapothubutu kusogelea ukuta huu.. msije mkalaumu sikuwaambia.

3. Katika magoli 19 tuliyofunga.. Strikers wamefunga magoli 12, Viungo wamefunga 4, Mabeki 3.

ANGALIZO:

Ile Nguvu Moja imehamia uwanjani.. Sasa kila mtu ni mfungaji.. Ukimdhibiti Kiiza, Kazimoto anatupia.. Ukimletea ukatili Mgosi, Murshid anakuabisha.

4. Katika magoli 19 tuliyofunga.. Magoli 9 tumefunga kipindi cha 1 na magoli 10 ni second half.

ANGALIZO:

Ile dhana kua kipindi cha pili, Mnyama hua anaishiwa pumzi sasa ni historia.. Tunashambulia kama nyuki.. Huku tukijilinda mithiri ya wanajeshi wa North Korea wanavyolinda mpaka wao.

Najua kuna Binadamu wataanza kusema, Ooooh Simba SC imecheza na vitimu vya Mchangani, ndo maana wameshinda mechi kibao..

ANGALIZO langu Kwenu: Katika ligi yoyote Dunia hii.. Katika pre-season timu za ligi kuu kucheza na timu za ligi madaraja ya chini au kombaini ni jambo la kawaida.. Mfano 15/072015.. Arsenal ilicheza mechi ya kirafiki na Singapore Select na kushinda 4-0.. Je hii timu ni level za Arsenal?!

................... na 12/09/2015 ifike mapema.

heheh,,kumbukumbu zangu. zinaniambia hivi mikia fc miaka yote. huwa mnaperform vizur. kwenye mech zenu karibi zote za pre seasons na matumain huwa makubwa kuelekea kwenye ligi ila ligi ikishaanza mnakuwa maandazi ndo maana mnajulikana kama wamchangan maana kushinda kwenu ni. kwenye hizo mechi za mchangan na mabonanza hamna jipya kwenye vlp,,,,,,
n.b,,namkumbuka. sana yule. mghana daniel akufo alitisha sana. kwenye mechi za kirafiki kule arusha alipokuja kwenye ligi hakuambulia. hata goli moja hadi. alipofungashiwa virago,,,,so hizo mbwembwe zenu zakawaida sana tushazizoea
 
Mkuu Amini nachokuamabia.. Simba ya Mwaka Huu ni tofauti na ya miaka 3 nyuma.
 
Back
Top Bottom