Syston
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 243
- 354
Habari wana jamvi,
Kinachoendelea Afrika kwa sasa ndio kilichotokea Italy siku si nyingi zilizopita. Inachekesha ila inasikitisha sana kuona kila duka unaloingia wanakutaka unawe mikono lakini ukija kwenye daladala watu bado wanapunuliana balaa, nchi yetu bado inapokea wageni kutoka nchi zenye CORONA kwa kiwango cha juu, wanawapima airpot na kuona wazima, baadae wanatangaza ni wagonjwa na bado kuna viongozi wanasema TUMEJIPANGA, seriously!
Mtu anahisiwa ana CORONA sample inasafirishwa kwenda DAR majibu yanatoka siku nyingine na bado mnasema mmejipanga? Nimeona Waziri mkuu Italia Amelia ila sina uhakika kama Sie waafrika kuna mtu atalia zaidi ya kusema Kazi ya Mola. Wazungu wanatamani sana Afrika ikamatwe na CORONA kama ilivyotokea ulaya ili wapate njia rahisi kuwasaidia kwa kubadilishana na maliasili.
Ndio maana huwasikii wakionesha kukubali uwepo wa CORONA Afrika, sio kwamba hawakubali ni namna ya kujiweka kando ili ikitutafuna ndio waje kusaidia. Inasikitisha sana kuina viongozi wanawaambia wananchi CORONA ni kama wapinzani tu haitusumbui. Ila nina imani ku a watu watakufa wakisubiri vipimo kama CORONA VIRUS Ataweza ku adapt mazingira yetu, maana kuna tetesi kwamba virus wa corona hawahimili mazingira ya joto ila mjue hawa wadudu nao ni kama binaadam wanabadilika kuendana na mazingira walipo,
Kwa sasa tujifariji ila kama Serikali itaendeleza huu mzaha ukitoa yale makaburi ya MV bukoba pale Igoma Mwanza yanayokuja ni makaburi ya COVID-19 all over the country.