Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
0
Habari za leo wana jf wenzangu. Kwa mtazamo wangu sikuhiz kumekua na matatizo mengi katika ndoa ambayo hupelekea ndoa nyingi kuvunjika au hata uchumba mwingi kuishia hewani hewani.je tatizo ni nini? Nahtaji busara zenu hapa jamvini ili niweze fahamu chanzo hasa ni nini kwasababu tatizo hili lmekua ni janga katika jamii inayo tuzunguka mimi na wewe pia. Nini kifanyaike ili wanandoa waweze kudumu kadika ahadi zao za kuvumiliana katika shida na raha? Kwa sababu wanaopata shida zaidi ni watoto wetu wasio na uwezo wa kujihudumia wenyewe kwani bado wana hitaji msaada wa wazazi wao.
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
PERDON MY UNORTHODOX MANNERS ila mimi napendekeza yafuatayo:-

1. Watu kuto oa mapema!!!!! Wangoje hadi wapate MBESA afu wakichagua ni final, sio mtu unajua mambo ya 10/10 ndo yanakukosha alafu kutokana na uwezo unaamua KUSETTLE na 2/10 matokeo yake ndo Kama Wiyelele na BEKI TATU WAKE 10/10 (Hata wanawake pia)

2.Wasichana muache KUCHAKACHUA na kufosi CONER kwenye GOAL KICK!!!!!!!! We uko na mtu hajakwambia kama atakuoa wala nini, unaamua Kumlambisha JOCKERY huku mchezo umeisha kwa kumpa THE BIG NEWS "Baby im pregnant" ili tu AKUOE kumaliza ubishi!!!!!!!!! Guess what ndo hivo lunch time anashushia na VITUS vya The Secretary.

3.Wanaume muelewe kuwa MTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE KAMA YA HOME!!!!!!! Mjiulize huko mwendako kwa kuiba ZA DHAHABU??????? (Na msiseme mchele mmoja mapishi mbali mbali)

4.Wanawake na sie TUJITUME!!!!!!! We amekuona ukiwa kwenye HOT PANTS na HIGH HILLS na KAKUOA, sasa baada ya kukabidhiwa nyumba ndo shinde in BIKINIS au naked kabisaa unaanza "Mi mke wa mtu, staha lazima, hizo bikini vaeni nyie." Kutwaa ndani ya Mikhanga na Dera!!!!!! Basi na sie tukijiachia na Bikini akituona Macho hayana Pazia!!!!!!!

5. Wanaume na nyie mpunguze BIA na NYAMA CHOMA khaaaaaaaaa!!!!!!! We tumekutana SIX PACKS, Tumbo hulioni kabisaaaa, kunioa ndo kosa!!!!! Tambi hiloooo hata mkanda unafunga kwa hisia manake bacol huioniii jinsi tambi lilivoangukia. Nikimcheki shamba boi mwili wa kazi unanuna!!!! HIT THE GYM PEOPLE!!!!!!!

6.Ubunifu jamani!!!!!!1 Kabla ya ndoa isitinge design mpyaa mmoooo, Bi dada katika kuhakikisha TENDA unaichua sio Lap Dance umooo, sio Striping umooo, sio BJ umooo, ila baada ya Kutinga ndani Hivo vitu vya wanawake wa nje IM YA WIFE NOW YOU HAVE TO RESPECT ME!!!!! Basi ndo Death of Periplaneta Americana mpaka mwisho!!!! Achilia mbali mwili ulivogeuka Loxodanta Africanus!!!!!! Ukishake kidogo hoiiiiiii!!!!!!

7. Small house punguzeni NDUMBA jamaniii!!!!!!!!! Ukila na kipofu usimshike mkono!!!!! Khaaaaaaaa!!!!! Yaani we unaeiba ndo unajibinafsishia kabisaaaa na kumkataza kurudi home mwenzio jumlaaa! Unampulizia daily!!!! Vibaya hivo walakini! Mle ila mmbakishie Mama.

UJUMBE HUU UMEWAJIA KWA HISANI KUBWA YA MAKUNGWI WA KITCHEN PARTY ZA KINO!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Wewe Unapendekeza nini kifanyike???????????????????????
 
LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
0
perdon my unorthodox manners ila mimi napendekeza yafuatayo:-

1. Watu kuto oa mapema!!!!! Wangoje hadi wapate mbesa afu wakichagua ni final, sio mtu unajua mambo ya 10/10 ndo yanakukosha alafu kutokana na uwezo unaamua kusettle na 2/10 matokeo yake ndo kama wiyelele na beki tatu wake 10/10 (hata wanawake pia)

2.wasichana muache kuchakachua na kufosi coner kwenye goal kick!!!!!!!! We uko na mtu hajakwambia kama atakuoa wala nini, unaamua kumlambisha jockery huku mchezo umeisha kwa kumpa the big news "baby im pregnant" ili tu akuoe kumaliza ubishi!!!!!!!!! Guess what ndo hivo lunch time anashushia na vitus vya the secretary.

3.wanaume muelewe kuwa mtamaliza mabucha nyama ni ile ile kama ya home!!!!!!! Mjiulize huko mwendako kwa kuiba za dhahabu??????? (na msiseme mchele mmoja mapishi mbali mbali)

4.wanawake na sie tujitume!!!!!!! We amekuona ukiwa kwenye hot pants na high hills na kakuoa, sasa baada ya kukabidhiwa nyumba ndo shinde in bikinis au naked kabisaa unaanza "mi mke wa mtu, staha lazima, hizo bikini vaeni nyie." kutwaa ndani ya mikhanga na dera!!!!!! Basi na sie tukijiachia na bikini akituona macho hayana pazia!!!!!!!

5. Wanaume na nyie mpunguze bia na nyama choma khaaaaaaaaa!!!!!!! We tumekutana six packs, tumbo hulioni kabisaaaa, kunioa ndo kosa!!!!! Tambi hiloooo hata mkanda unafunga kwa hisia manake bacol huioniii jinsi tambi lilivoangukia. Nikimcheki shamba boi mwili wa kazi unanuna!!!! Hit the gym people!!!!!!!

6.ubunifu jamani!!!!!!1 kabla ya ndoa isitinge design mpyaa mmoooo, bi dada katika kuhakikisha tenda unaichua sio lap dance umooo, sio striping umooo, sio bj umooo, ila baada ya kutinga ndani hivo vitu vya wanawake wa nje im ya wife now you have to respect me!!!!! Basi ndo death of periplaneta americana mpaka mwisho!!!! Achilia mbali mwili ulivogeuka loxodanta africanus!!!!!! Ukishake kidogo hoiiiiiii!!!!!!

7. Small house punguzeni ndumba jamaniii!!!!!!!!! Ukila na kipofu usimshike mkono!!!!! Khaaaaaaaa!!!!! Yaani we unaeiba ndo unajibinafsishia kabisaaaa na kumkataza kurudi home mwenzio jumlaaa! Unampulizia daily!!!! Vibaya hivo walakini! Mle ila mmbakishie mama.

Ujumbe huu umewajia kwa hisani kubwa ya makungwi wa kitchen party za kino!!!!!!!!!!!!

kwakweli lara umenifurahisha manake kila kundi umelipa mstari wake.haya bwana mi saina mbavu hapa nlipo.
 
LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
0
Mi napendekeza tu kuwa watu wawe wavumilivu kwani wake au waume zao hawakuchaguliwa na mtu ilikua hiari yao wenyewe.pia tuwe na upendo kwa wake na waume zetu bila kusahau hofu ya mungu kwani ndo inayotuepusha na mambo mengi mabaya
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Ni vitu vingi huchangia ndoa kudumu na baadhi yake ni kuhakikisha unafunga ndoa na mtu ambaye unampenda na si kulazimishana, kuaminiana, kuvumiliana, kusaidiana, kupendana, kushirikishana kwenye mipango ya maendelea, kuwa wazi (kufunguka) kwa jambo linalokukera au kukufurahisha, kuwa makini na maneno ya ndugu, majirani, nk ambayo yana mlengo wa kuvunja nyumba, kuachana na nyumba ndogo/vidumu, kuacha tabia mbaya, kutunzana nk
 
Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,551
1,195
Mm kwa upande wangu ninaomba wanawake kwa wanaume maana mpk inafikia kuona ni kwamba kila mmoja kuna kitu alikuwa anafnya na akawa anamfurahisha mwenzie

pili kuboresha penzi kila uchao, usinganganie stail moja kuna stail kibao , kama ulikuwa unavaa bikin usiache , kama ulikuwa unamchezea ndombolo usiache tena hapo boresha, kama ulikuwa unavua nguo mbele yake alipokuoa tu unajifanya kujifinika. tuache aibu kwa waume zetu hasa tukiwa kwenye 6 x6

tatu kama alivyosema Lara 1 kuwa Small house punguzeni ndumba hilo naliunga mkono kwa 100% wamezidi sana kutukamatia waume zetu kwa dumba.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,455
2,000
PERDON MY UNORTHODOX MANNERS ila mimi napendekeza yafuatayo:-

1. Watu kuto oa mapema!!!!! Wangoje hadi wapate MBESA afu wakichagua ni final, sio mtu unajua mambo ya 10/10 ndo yanakukosha alafu kutokana na uwezo unaamua KUSETTLE na 2/10 matokeo yake ndo Kama Wiyelele na BEKI TATU WAKE 10/10 (Hata wanawake pia)

2.Wasichana muache KUCHAKACHUA na kufosi CONER kwenye GOAL KICK!!!!!!!! We uko na mtu hajakwambia kama atakuoa wala nini, unaamua Kumlambisha JOCKERY huku mchezo umeisha kwa kumpa THE BIG NEWS "Baby im pregnant" ili tu AKUOE kumaliza ubishi!!!!!!!!! Guess what ndo hivo lunch time anashushia na VITUS vya The Secretary.

3.Wanaume muelewe kuwa MTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE KAMA YA HOME!!!!!!! Mjiulize huko mwendako kwa kuiba ZA DHAHABU??????? (Na msiseme mchele mmoja mapishi mbali mbali)

4.Wanawake na sie TUJITUME!!!!!!! We amekuona ukiwa kwenye HOT PANTS na HIGH HILLS na KAKUOA, sasa baada ya kukabidhiwa nyumba ndo shinde in BIKINIS au naked kabisaa unaanza "Mi mke wa mtu, staha lazima, hizo bikini vaeni nyie." Kutwaa ndani ya Mikhanga na Dera!!!!!! Basi na sie tukijiachia na Bikini akituona Macho hayana Pazia!!!!!!!

5. Wanaume na nyie mpunguze BIA na NYAMA CHOMA khaaaaaaaaa!!!!!!! We tumekutana SIX PACKS, Tumbo hulioni kabisaaaa, kunioa ndo kosa!!!!! Tambi hiloooo hata mkanda unafunga kwa hisia manake bacol huioniii jinsi tambi lilivoangukia. Nikimcheki shamba boi mwili wa kazi unanuna!!!! HIT THE GYM PEOPLE!!!!!!!

6.Ubunifu jamani!!!!!!1 Kabla ya ndoa isitinge design mpyaa mmoooo, Bi dada katika kuhakikisha TENDA unaichua sio Lap Dance umooo, sio Striping umooo, sio BJ umooo, ila baada ya Kutinga ndani Hivo vitu vya wanawake wa nje IM YA WIFE NOW YOU HAVE TO RESPECT ME!!!!! Basi ndo Death of Periplaneta Americana mpaka mwisho!!!! Achilia mbali mwili ulivogeuka Loxodanta Africanus!!!!!! Ukishake kidogo hoiiiiiii!!!!!!

7. Small house punguzeni NDUMBA jamaniii!!!!!!!!! Ukila na kipofu usimshike mkono!!!!! Khaaaaaaaa!!!!! Yaani we unaeiba ndo unajibinafsishia kabisaaaa na kumkataza kurudi home mwenzio jumlaaa! Unampulizia daily!!!! Vibaya hivo walakini! Mle ila mmbakishie Mama.

UJUMBE HUU UMEWAJIA KWA HISANI KUBWA YA MAKUNGWI WA KITCHEN PARTY ZA KINO!!!!!!!!!!!!
Shemeeeeeeeeeejiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Last edited by a moderator:

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
0
Habari za leo wana jf wenzangu. Kwa mtazamo wangu sikuhiz kumekua na matatizo mengi katika ndoa ambayo hupelekea ndoa nyingi kuvunjika au hata uchumba mwingi kuishia hewani hewani.je tatizo ni nini? Nahtaji busara zenu hapa jamvini ili niweze fahamu chanzo hasa ni nini kwasababu tatizo hili lmekua ni janga katika jamii inayo tuzunguka mimi na wewe pia. Nini kifanyaike ili wanandoa waweze kudumu kadika ahadi zao za kuvumiliana katika shida na raha? Kwa sababu wanaopata shida zaidi ni watoto wetu wasio na uwezo wa kujihudumia wenyewe kwani bado wana hitaji msaada wa wazazi wao.

Mengi wameshaongea wachangiaji wengine,kwa kuongezea cha msingi ni uwazi,ukweli,kuvumiliana,kuheshimiana,kuaminiana na kuifanya ndoa isiwe gereza dogo badala ya paradiso ndogo!!!!
 
Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,072
1,170
PERDON MY UNORTHODOX MANNERS ila mimi napendekeza yafuatayo:-

1. Watu kuto oa mapema!!!!! Wangoje hadi wapate MBESA afu wakichagua ni final, sio mtu unajua mambo ya 10/10 ndo yanakukosha alafu kutokana na uwezo unaamua KUSETTLE na 2/10 matokeo yake ndo Kama Wiyelele na BEKI TATU WAKE 10/10 (Hata wanawake pia)

2.Wasichana muache KUCHAKACHUA na kufosi CONER kwenye GOAL KICK!!!!!!!! We uko na mtu hajakwambia kama atakuoa wala nini, unaamua Kumlambisha JOCKERY huku mchezo umeisha kwa kumpa THE BIG NEWS "Baby im pregnant" ili tu AKUOE kumaliza ubishi!!!!!!!!! Guess what ndo hivo lunch time anashushia na VITUS vya The Secretary.

3.Wanaume muelewe kuwa MTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE KAMA YA HOME!!!!!!! Mjiulize huko mwendako kwa kuiba ZA DHAHABU??????? (Na msiseme mchele mmoja mapishi mbali mbali)

4.Wanawake na sie TUJITUME!!!!!!! We amekuona ukiwa kwenye HOT PANTS na HIGH HILLS na KAKUOA, sasa baada ya kukabidhiwa nyumba ndo shinde in BIKINIS au naked kabisaa unaanza "Mi mke wa mtu, staha lazima, hizo bikini vaeni nyie." Kutwaa ndani ya Mikhanga na Dera!!!!!! Basi na sie tukijiachia na Bikini akituona Macho hayana Pazia!!!!!!!

5. Wanaume na nyie mpunguze BIA na NYAMA CHOMA khaaaaaaaaa!!!!!!! We tumekutana SIX PACKS, Tumbo hulioni kabisaaaa, kunioa ndo kosa!!!!! Tambi hiloooo hata mkanda unafunga kwa hisia manake bacol huioniii jinsi tambi lilivoangukia. Nikimcheki shamba boi mwili wa kazi unanuna!!!! HIT THE GYM PEOPLE!!!!!!!

6.Ubunifu jamani!!!!!!1 Kabla ya ndoa isitinge design mpyaa mmoooo, Bi dada katika kuhakikisha TENDA unaichua sio Lap Dance umooo, sio Striping umooo, sio BJ umooo, ila baada ya Kutinga ndani Hivo vitu vya wanawake wa nje IM YA WIFE NOW YOU HAVE TO RESPECT ME!!!!! Basi ndo Death of Periplaneta Americana mpaka mwisho!!!! Achilia mbali mwili ulivogeuka Loxodanta Africanus!!!!!! Ukishake kidogo hoiiiiiii!!!!!!

7. Small house punguzeni NDUMBA jamaniii!!!!!!!!! Ukila na kipofu usimshike mkono!!!!! Khaaaaaaaa!!!!! Yaani we unaeiba ndo unajibinafsishia kabisaaaa na kumkataza kurudi home mwenzio jumlaaa! Unampulizia daily!!!! Vibaya hivo walakini! Mle ila mmbakishie Mama.

UJUMBE HUU UMEWAJIA KWA HISANI KUBWA YA MAKUNGWI WA KITCHEN PARTY ZA KINO!!!!!!!!!!!!
Jamani lara1, yaani kati ya hawo woooote, hata hao waomi wanaochakachuana for short time wakati wakiwa kazini hujawaona, umeona unitaje hapa na HG wangu? Jamani, HG ni common name, jina lake ni Angel. Labda mtumie jina hilo maana mkisema HG ni kama mnanifedhehesha fulani.
 
dada white

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
1,229
0
Kiini cha tatizo kipo kwenye JANGA HILI LA NJAA LINALOISUMBUA nchi yetu.Njaa inaharibu sana hata MWENYE AKILI HUWA MPUMBAFU,MWENYE AFYA HUDHOROTA,yote kwa sababu ya njaa.Nani baunsa wa njaa.Unakuta msichana ulikuwa mrembo hadi unajitamani huku una ka boifreind kako ila hakina ajira au mshahara hautoshi kumaintain uzuri wangu kwa nin nisitafute Subsidy kutoka kwa lifataki fulani.My take serikari ipunguze hali ya njaa kwenye jamii ili roho za TRUE LOVE zikapate kukaa nasi sio kubaki kuona wazungu kwenye moviez wakienjoy true love.
 
LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
0
mm kwa upande wangu ninaomba wanawake kwa wanaume maana mpk inafikia kuona ni kwamba kila mmoja kuna kitu alikuwa anafnya na akawa anamfurahisha mwenzie

pili kuboresha penzi kila uchao, usinganganie stail moja kuna stail kibao , kama ulikuwa unavaa bikin usiache , kama ulikuwa unamchezea ndombolo usiache tena hapo boresha, kama ulikuwa unavua nguo mbele yake alipokuoa tu unajifanya kujifinika. Tuache aibu kwa waume zetu hasa tukiwa kwenye 6 x6

tatu kama alivyosema lara 1 kuwa small house punguzeni ndumba hilo naliunga mkono kwa 100% wamezidi sana kutukamatia waume zetu kwa dumba.

papo umesema kweli.ni wajibu wetu kufanyia kazi
 
LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
0
Dada white nakuunga mkono kwani njaa haina aibu hata kidogo.mtu aweza fanya jambo ambapo ikishapata chakula akala anaanza kujishangaa ilikuaje akafanya vile.
kiini cha tatizo kipo kwenye janga hili la njaa linaloisumbua nchi yetu.njaa inaharibu sana hata mwenye akili huwa mpumbafu,mwenye afya hudhorota,yote kwa sababu ya njaa.nani baunsa wa njaa.unakuta msichana ulikuwa mrembo hadi unajitamani huku una ka boifreind kako ila hakina ajira au mshahara hautoshi kumaintain uzuri wangu kwa nin nisitafute subsidy kutoka kwa lifataki fulani.my take serikari ipunguze hali ya njaa kwenye jamii ili roho za true love zikapate kukaa nasi sio kubaki kuona wazungu kwenye moviez wakienjoy true love.
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
15,959
2,000
Jamani lara1, yaani kati ya hawo woooote, hata hao waomi wanaochakachuana for short time wakati wakiwa kazini hujawaona, umeona unitaje hapa na HG wangu? Jamani, HG ni common name, jina lake ni Angel. Labda mtumie jina hilo maana mkisema HG ni kama mnanifedhehesha fulani.

mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
jasiri haachi asili
wa mbili havai moja
mtaka nyingi nasaba hupa mingi misiba
mchagua jembe si mkulima
yakiisha masika utasingizia kiangazi
lakini mwisso kabisa MWENDA TEZI NA OMO HUREJEA NGAMANI!
ukiwa una akili utanielewa!vinginevyo utaniuliza maswali!
ahsante!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,131
2,000
[/B][/SIZE][/COLOR]

correction kidogo
'ni mjaa asili haachi asili' sio mjasiri
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,286
2,000
wanawake waache kutoa papuchi kama karanga....ukishazoea kumegwa na kumega basi ata ukioa tabia hiyo itaenddlea tuu
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,567
2,000
Unaonaje ukimrudia Mungu na kuishi ktk mapenzi yake.

Kingine ni kujaribu kupunguza umbali usio wa lazima na wa muda mrefu baina ya Mke na Mume.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,131
2,000
Unaonaje ukimrudia Mungu na kuishi ktk mapenzi yake.

Kingine ni kujaribu kupunguza umbali usio wa lazima na wa muda mrefu baina ya Mke na Mume.

Kuna post humu ya wanawake wa ujiji-kigoma
nimesubiri mchango wako saana sijaona..
 
kapistrano

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,237
1,500
Kuwa na hofu ya mungu! Hii ndiyo tiba pekee na kujua kwamba uliyenae kuwa umepewa na mungu.
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahahahahahahahahahahahahah thanx 4 the laughter mamito i needed it lol

Top Bottom