Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

PERDON MY UNORTHODOX MANNERS ila mimi napendekeza yafuatayo:-

1. Watu kuto oa mapema!!!!! Wangoje hadi wapate MBESA afu wakichagua ni final, sio mtu unajua mambo ya 10/10 ndo yanakukosha alafu kutokana na uwezo unaamua KUSETTLE na 2/10 matokeo yake ndo Kama Wiyelele na BEKI TATU WAKE 10/10 (Hata wanawake pia)

2.Wasichana muache KUCHAKACHUA na kufosi CONER kwenye GOAL KICK!!!!!!!! We uko na mtu hajakwambia kama atakuoa wala nini, unaamua Kumlambisha JOCKERY huku mchezo umeisha kwa kumpa THE BIG NEWS "Baby im pregnant" ili tu AKUOE kumaliza ubishi!!!!!!!!! Guess what ndo hivo lunch time anashushia na VITUS vya The Secretary.

3.Wanaume muelewe kuwa MTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE KAMA YA HOME!!!!!!! Mjiulize huko mwendako kwa kuiba ZA DHAHABU??????? (Na msiseme mchele mmoja mapishi mbali mbali)

4.Wanawake na sie TUJITUME!!!!!!! We amekuona ukiwa kwenye HOT PANTS na HIGH HILLS na KAKUOA, sasa baada ya kukabidhiwa nyumba ndo shinde in BIKINIS au naked kabisaa unaanza "Mi mke wa mtu, staha lazima, hizo bikini vaeni nyie." Kutwaa ndani ya Mikhanga na Dera!!!!!! Basi na sie tukijiachia na Bikini akituona Macho hayana Pazia!!!!!!!

5. Wanaume na nyie mpunguze BIA na NYAMA CHOMA khaaaaaaaaa!!!!!!! We tumekutana SIX PACKS, Tumbo hulioni kabisaaaa, kunioa ndo kosa!!!!! Tambi hiloooo hata mkanda unafunga kwa hisia manake bacol huioniii jinsi tambi lilivoangukia. Nikimcheki shamba boi mwili wa kazi unanuna!!!! HIT THE GYM PEOPLE!!!!!!!

6.Ubunifu jamani!!!!!!1 Kabla ya ndoa isitinge design mpyaa mmoooo, Bi dada katika kuhakikisha TENDA unaichua sio Lap Dance umooo, sio Striping umooo, sio BJ umooo, ila baada ya Kutinga ndani Hivo vitu vya wanawake wa nje IM YA WIFE NOW YOU HAVE TO RESPECT ME!!!!! Basi ndo Death of Periplaneta Americana mpaka mwisho!!!! Achilia mbali mwili ulivogeuka Loxodanta Africanus!!!!!! Ukishake kidogo hoiiiiiii!!!!!!

7. Small house punguzeni NDUMBA jamaniii!!!!!!!!! Ukila na kipofu usimshike mkono!!!!! Khaaaaaaaa!!!!! Yaani we unaeiba ndo unajibinafsishia kabisaaaa na kumkataza kurudi home mwenzio jumlaaa! Unampulizia daily!!!! Vibaya hivo walakini! Mle ila mmbakishie Mama.

UJUMBE HUU UMEWAJIA KWA HISANI KUBWA YA MAKUNGWI WA KITCHEN PARTY ZA KINO!!!!!!!!!!!!

kama ingekuwa mtihani ungepata ya 'A'
 
Last edited by a moderator:
is it?
basi mi na makiswahili yangu yote kichwani huwa najua ni jasiri haachi asili?


Weengi hujua hivyo ni makosa tu ya utamshi

jasiri ni brave ..sasa atakuwaje na asili?

lakini mjaa asili....yaani mtu ambae mambo ya asili yamemjaaa....anayo mengi hawezi kuacha kabisaa

ndo inakuwa mjaaa asili haachi asili....
 
PERDON MY UNORTHODOX MANNERS ila mimi napendekeza yafuatayo:-

5. Wanaume na nyie mpunguze BIA na NYAMA CHOMA khaaaaaaaaa!!!!!!! We tumekutana SIX PACKS, Tumbo hulioni kabisaaaa, kunioa ndo kosa!!!!! Tambi hiloooo hata mkanda unafunga kwa hisia manake bacol huioniii jinsi tambi lilivoangukia. Nikimcheki shamba boi mwili wa kazi unanuna!!!! HIT THE GYM PEOPLE!!!!!!!

Nundu heshima weyee... hata hivo hizo paki sita mnazotolea macho ni kipengele ndogo sana.. ningekuelewa kama ungesema dume liwe na afya.. kuna mtu hana paki sita na wana mvuto vilevile..
 
Back
Top Bottom