Achana na mambo ya kusoma wewe.....Mungu aliposababisha u disco maana yake alikuepusha na manyanyaso yatokanayo na kusoma. Mfano, mishahara midogo, tishio la redunduncy, hatari ya kufukuzwa kazi bila kisa na mkasa na madeni ya benki yatokanayo na mikopo ya mshahara midogo nk. Kuwa mjasitiamali utaajiri watu wenye PhD!!!
Unatakiwa oumbe chuo kingine, hata mwaka huu. Kwa chuo kile kile ni mpaka baada ya miaaka 3. Kwa kupata tena mkopo ni lazima ulipe 50% ya mkopo uliopata mpaka ulipdisco
huyo hana tofaut na kusoma miaka saba alafu huendi form one what matters ni kumaliza masomo sio kuishia njiani..huyo ni failure tu
True ....huo mda atumie kujiajir atafika mbal...
Achana na mambo ya kusoma wewe.....Mungu aliposababisha u disco maana yake alikuepusha na manyanyaso yatokanayo na kusoma. Mfano, mishahara midogo, tishio la redunduncy, hatari ya kufukuzwa kazi bila kisa na mkasa na madeni ya benki yatokanayo na mikopo ya mshahara midogo nk. Kuwa mjasitiamali utaajiri watu wenye PhD!!!
Pole sana dogo, kama wewe ulijiunga chuo kupitia tcu unachotakiwa kufanya.Wanajamii forum naomba msaada kujua kuna taratibu zipi zinafuatwa kwa mtu aliye disco na anataka kuomba tena chuo?
Umedisco wapi kijana nikupe maujanja?
Na ndogo wangu amedisco Udom pale mwaka wa 3
Kama Ujui kitu sio lazima uchangie,dogo mkopo atapata anachotakiwa aende bodi alipe asilimia 25 ya mkopo aliotumia na atafanikiwa kupata mkopo tena,Kuna watu wanachangia kama sio wasomi kama Ujui TANG'ANA kaa kimyaaaaaaa
acha porojo sua hatupokei makapi!!!!Inawezekana mkuu ila inabidi ufanye mishe sana na uwe na connections,sisi wakati tupo second yr coet kuna mshikaji wetu tulikua tunasoma nae civil engineering alidisko ila alifanyiwa transfer ya credit akaendelea sua irrigation engineering