Kudhalilishana tu

Kudhalilishana tu

Huyo mwanamke hana akili jamani.Yani mapungufu ya mumewe kwanini wasivumiliane na watafute solution?Mbaya zaidi mashost nao sio mashost maana wamwishaanza kumsaliti.Ndio maana mie sipendi ushost kabisaa na sitaki mashost
maishani mwangu

Yaani inauma sana aisee siku huyo kaka akijua ukweli hakika ataumia mno
 
Ndo mjue sasa mambo mnayoyafanya wenyewe, umemdhalilisha hujui kama mko mwili mmoja maana yake hata wewe uko uchi mbele ya jamii so sad wanawake hawa!

Ndo ivo tena hajui kwamba na yeye anajianika
 
Hii stori inachekesha kweli. Kwani huyo kidume ameshindwa nini kuji-evaluate perfomance yake kisha atazame kama anachoambiwa kuwa kimesemwa na mkewe kuhusu yeye kina uhalisia?

Haya we endelea kucheka lakini usisahau kumwomba mungu akuepusha na mwanamke wa aina hii
 
Ni kweli yanatokea ila hapo alipomaliza sex na kukimbilia kwa mashoga kuwapa umbea kabla hata hajaoga janaba ndio pameniacha hoi,mwee!
Nimehisi hivyo pia, ila nimechangia makusudi maana juzi nilikuta kitim tim saluni moja, wanawake wanachambana, siri zinamwagika, umbea kama kazi. Tulibaki kutazama tu. Yes! Ni story, lakini haya mambo yapo.
^^
 
Huyo mwanamke hana akili jamani.Yani mapungufu ya mumewe kwanini wasivumiliane na watafute solution?Mbaya zaidi mashost nao sio mashost maana wamwishaanza kumsaliti.Ndio maana mie sipendi ushost kabisaa na sitaki mashost maishani mwangu

hahaha kwa hiyo huna rafiki hata mmoja
 
Ni kweli yanatokea ila hapo alipomaliza sex na kukimbilia kwa mashoga kuwapa umbea kabla hata hajaoga janaba ndio pameniacha hoi,mwee!

Hapo ndo hata mimi palinifanya nimuone huyu mwanamke ni waajabu
 
Nimehisi hivyo pia, ila nimechangia makusudi maana juzi nilikuta kitim tim saluni moja, wanawake wanachambana, siri zinamwagika, umbea kama kazi. Tulibaki kutazama tu. Yes! Ni story, lakini haya mambo yapo.
^^
Mkuu... kuna watu kwa aina ya maisha waliyopitia kuna mambo wanadhani ni stori tu...
Tunavyoonana posta wengine na masuti wengine malesi wigi wengine ma mavogi wanadhani tuna hadhi ya hayo madudu... kuna watu wanatimia madudu hayo kufich madhambi yao.. ni sawa naajambazi kusali kanisani au kuswali misikitini kila kukicha
 
Back
Top Bottom