Kudanganya......


.....kamanda, uongo si ndio kudanganya? ...hapa sizungumzii cheating,......nazungumzia uongo wa kudanganywa kama LD alivyogusia wimbo wa "nidanganye danganye tu!"...

.....mfano kama huo wa "upo wapi wewe" anakujibu yupo Mapinga wakati yupo Bar....kumbe nawe umekaa 'a few feet away' unamuangalia.
 

unachakachua mada. . .
 
Reactions: Mbu

Kama madhara ya kusema ukweli ni makubwa kuliko kusema uongo, we danganya tu! Ila usikamatwe.
 
Kama madhara ya kusema ukweli ni makubwa kuliko kusema uongo, we danganya tu! Ila usikamatwe.
kama nilivokudanganya am virgin ,nakulove ...ukafurahiii
 
Reactions: RR
kudanganya kupo aina kadhaa
kudanganya ili aepushe shari
kudanganya ili kunogesha penzi
kudanganya kwa sababu ni silika lake
kudanganya kwa sababu kakudharau,anakuchukulia kama mtoto,atakudanganya na yataisha

usiombe kuwa na mpenzi ambaye kudanganya ndo silika yake, ujuta!
 
but mimi ni mkweli daima...sipendi kudanganya...ila nadanganyika maskini mimi
 
Labda niombe ufafanuzi, kudanganya hapa inahusisha hata kusaliti penzi, au ule uongo wa maneno tu?

....wa maneno bana. Mfano wamwambia mamsap natoka kidogo, narudi sasa hivi....7pm hiyo, halafu unarudi hme 4am....

Tena ukiulizwa mbona hata simu hukupokea, wadai 'uliisahau' kwa gari

Kwa wengine uongo ni kipaji hawawezi ishi bila kudanganya yaani uongo ndo unawaweka mjini..

....ehh? Haya!

Sidhani kama nimekuelewa,sijui unazungumzia kudanganya kupi?Mlio tayari kwenye mahusiano au uongo ule wa mwanzo wakati wa kuambiana kuwa "nakupenda"?

....ahh, kudanganywa kunachagua basi?

Kila mtu, at some point, anadanganya kwa malengo tofauti.

I agree bana, ila ule "white lie" kha? Unamuuliza mke ushafika home, anakujibu ....tena amejilaza anaumwa kichwa. Anazima na simu.

Ukifika hme waambiwa hajarudi tangu Asubuhi!
 
Reactions: RR

Umenikumbusha ya 'wasn't me'!
Hivi kama uko chobingo....na unapokea mahanjam, ukipigiwa utasema ukweli, black n white?
Bila shaka utasema nipo na John tunapata bia moja hapa.....hopeful hatampigia wala kuonana na John!
 
Kama madhara ya kusema ukweli ni makubwa kuliko kusema uongo, we danganya tu! Ila usikamatwe.

...na hapa ndipo iliposimamia mada yangu. Unajua kabisa Mkeo anakudanganya, mfano; asb ulimuacha ofisini,....bahati mbaya, mchana ukampitia um surprise kwa lunch.... Pale ukajibiwa hakuingia kazini kabisa siku hiyo.

Jioni mpo nyumbani wamuuliza za kazi anakwambia alikuwa v.busy kwa ofisi, ....unapomwambia ulipita hukumkuta, anabadili maneno anakwambia alikwenda hospitali!
 

.....hahaha.....kuna walio expatriates wa kudanganya hata ukimwambia aape kwa msahafu, au biblia.....

Atadanganyia humo humo na kiapo cha uongo...
Uongo ni kipaji. Unapodanganya hutakiwi kusahau....
 
Katika mapenzi usipo danganya humegi kaka....
uzuri na wao wanapenda kudanganywa ukimwambia ukweli basi umekosa tunda.
anapenda umwambie nitakununulia ndege au nitakujengea gorofa wakati anajua fika hata hela huna una hela za kubadilishia matembele na vibua au utumbo leo wa ng'ombe kesho wa kuku.
 
Na ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu la sivyo utajuuta kudanganya..
Nakumbuka kuna kasheshe moja ilitokea ..Katika kujitetea nikadanganya...
Siku kadhaa zikawa zimepita nikiwa naongea na mhusika nikajikuta nimetamka ile issue niliyokataa
Nilipobanwa eeh mama ikawaje wakati wewe ulisema hivi mbona maneno yanapingana?
Nilikomaje kutafuta uongo mwingine wa kujazilizia ...
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…