Mmmmh!,hizi seriez mbona haziishi,ilianza sukari,tukaaminishwa watu wanaficha sukari,lakini hakuna aliyewahi kushitakiwa mahakamani,ikaja series ya watu weficha pesa hakuna alipatikana ameficha pesa,ikaja ya madaya ya kulevya ikaondoka na nape,ikaja ya watumishi hewa,ikaja ya wenye vyeti feki,sasa ni makinika hakuna lolote,viwanda mpaka sasa havijajengwa huyu amegundua kuwa hawezi kujenga viwanda sasa anataka kutuzuga,acacia hawawezo kulipa hizi pesa,trilioni 100?,