Kudai Tilioni 100 kwa Acacia yenye Utajiri wa Tilioni 9, ni sawa na binadamu kumuomba damu mbu.

Mmmmh!,hizi seriez mbona haziishi,ilianza sukari,tukaaminishwa watu wanaficha sukari,lakini hakuna aliyewahi kushitakiwa mahakamani,ikaja series ya watu weficha pesa hakuna alipatikana ameficha pesa,ikaja ya madaya ya kulevya ikaondoka na nape,ikaja ya watumishi hewa,ikaja ya wenye vyeti feki,sasa ni makinika hakuna lolote,viwanda mpaka sasa havijajengwa huyu amegundua kuwa hawezi kujenga viwanda sasa anataka kutuzuga,acacia hawawezo kulipa hizi pesa,trilioni 100?,
 
Pengine hatujaambiwa vizuri juu ya Net worth (Utajiri) wa Acacia, lakini kama ndio huo unaoonekana kwenye rekodi zao ambao ni USD 4 billion, sawa na Tsh Tilioni 9+ basi, kuwadai Fidia ya Tilioni 100+ ni sawa na binadamu kumuomba mbu amuongezee damu.
Kama hawana waachie migodi na wakubali kutulipa kwa instalment pesa yetu
 
Pengine hatujaambiwa vizuri juu ya Net worth (Utajiri) wa Acacia, lakini kama ndio huo unaoonekana kwenye rekodi zao ambao ni USD 4 billion, sawa na Tsh Tilioni 9+ basi, kuwadai Fidia ya Tilioni 100+ ni sawa na binadamu kumuomba mbu amuongezee damu.
Inaelekea umelewa mataputapu, Tilioni ndo nini?
 
Pengine hatujaambiwa vizuri juu ya Net worth (Utajiri) wa Acacia, lakini kama ndio huo unaoonekana kwenye rekodi zao ambao ni USD 4 billion, sawa na Tsh Tilioni 9+ basi, kuwadai Fidia ya Tilioni 100+ ni sawa na binadamu kumuomba mbu amuongezee damu.
Mkuu wewe TULIA TULI au ndio Msemaji wa ACACIA. Lazima tuwafilisi kama wao walivyotufanyizia.
 
Back
Top Bottom