Kudai mamlaka kamili ni haki msingi ya mzanzibari

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,209
Kudai maamlaka kamili siyo uhaini bali ni haki msingi ya mnzanzibari hasa ukizingatia dhulma na uhuni wa Tanganyika vidi ya watu wa Zanzibar tangu kuunza mfumo wa vyama vingi.
QOUTE:Every man has a right to decide his own destiny, and in this judgement there is no partiality. BOB MARLEY.
 
Inaeleka wala hauelewi ulichokiandika! Unaposema Zanzibar unamaanisha nini? Je unamaanshia Unguja na Pemba kwa Umoja wao? Au unamaamnisha Pemba peke yao? Kwa maana hakuna Zanzibar (Unguja na Pemba) bila ya TanZania, na ukisema uiondoe TanZania Zanzibar basi pia utaiondoa Unguja Zanzibar na hapo utabakiwa na visiwa viwili tofauti kwa kifupi nchi mbili tofauti na mwishowe Unguja watakuja tu Bara tena kwa maana Muungano wetu siyo wa kisiasa bali ni wa Damu, asilimia kubwa sana ya wakazi wa Zanzibar wana asili ya Bara wengi kutoka Kilwa, MT, Tanga, Tabora, mpaka Kigoma, kuna watu wengi ktk Tabora wana ndugu Zanzibar na kinyume chake!
 
Kama mnashindwa hata kumalizana kwa amani kwenye uchaguzi hayo mamlaka kamili mtayaweza???
 
Sjua

Sjui unazungumza kihistoria zaidi au unaiona hali ya sasa ya kisiasa visiwani Zanzibar??? sjui unselewa wazanibara wanachotaka ukiachia mbali siasa hizi za majitaka za kiccm hadi kwenye shughuli za kiserikali wanavaa nguo za chama wakatu viongozi wao hawavai????
 
Nimezungumzia hali halisi ya Zanzibar kwamba hakuna Zanzibar bila ya TanZania, ukiondoa TanZania unabakiwa na Unguja na Pemba na nimejibu kulingana na Mada ilivyoletwa!
 
Kama wale wahasisi wa huu muungano wangakua hai leo, kuna maneno machache wangezungumza kulingana na hali halisi ya ubakwaji wa demokrasia kule Visiwani na vilio vya wanaZanzibar kuhusu utaifa wao. Na hapa nahakika hawa wanaodhani ni wababe wasiopingika wangebaki vinywa wazi kwa hizo kauli za hao wahasisi na hapo mbichi na mbivu zingejulikana. Wana serikali yao, bunge lao, mawaziri wao, wabunge wao, maamuzi yao, katiba yao, bendera yao, nin tena!! hata ASP wakiamua watairudisha wao. Ngojeni tu muda ufike. Hata mbwa ukimpiga sana mwisho huamua moja.
 
Unajua
Nimezungumzia hali halisi ya Zanzibar kwamba hakuna Zanzibar bila ya TanZania, ukiondoa TanZania unabakiwa na Unguja na Pemba na nimejibu kulingana na Mada ilivyoletwa!

Unajua Tanzania in muubganiko wa nchi ngapi? (Zitaje kwa majina)
 
Nimezungumzia hali halisi ya Zanzibar kwamba hakuna Zanzibar bila ya TanZania, ukiondoa TanZania unabakiwa na Unguja na Pemba na nimejibu kulingana na Mada ilivyoletwa!
Weeeeeeee, ukiondo Tanzzania unabakiwa na Tanganyika na Zanzibara zikiwa separated man. sjui umetumia mantiki gani best.
Alafu elewa JKN alichelewa hadi zenji ikawa nchi huru na yenye mamlaka kamili ndo wakaungana, akapunguza hayo mamlaka na sasa wanayataka maana ni haki yao maana sasa wasomi ni weeengi tofauti na kipindi kila na ni haki yao ya msingi, kumbuka hii siyo siasa ya kihafidhina ila ni haki ya msingi ya wana Zanzibar.
 
Inaeleka wala hauelewi ulichokiandika! Unaposema Zanzibar unamaanisha nini? Je unamaanshia Unguja na Pemba kwa Umoja wao? Au unamaamnisha Pemba peke yao? Kwa maana hakuna Zanzibar (Unguja na Pemba) bila ya TanZania, na ukisema uiondoe TanZania Zanzibar basi pia utaiondoa Unguja Zanzibar na hapo utabakiwa na visiwa viwili tofauti kwa kifupi nchi mbili tofauti na mwishowe Unguja watakuja tu Bara tena kwa maana Muungano wetu siyo wa kisiasa bali ni wa Damu, asilimia kubwa sana ya wakazi wa Zanzibar wana asili ya Bara wengi kutoka Kilwa, MT, Tanga, Tabora, mpaka Kigoma, kuna watu wengi ktk Tabora wana ndugu Zanzibar na kinyume chake!
Kupimwa akili mirembe ni buree wahi kabla hali haijakuwa mbaya zaid
 
Nimezungumzia hali halisi ya Zanzibar kwamba hakuna Zanzibar bila ya TanZania, ukiondoa TanZania unabakiwa na Unguja na Pemba na nimejibu kulingana na Mada ilivyoletwa!
Zanzibar ndugu ilipata Uhuru wake tarehe 10-12-63 taifa kamili ikawa mwanachama wa umoja wa taiga na jumuiya ya madola kwabla ya Tanzania sasa sikuelewi unaposema bila ya Tanzania hakuna zanzibar
 
Kama mnashindwa hata kumalizana kwa amani kwenye uchaguzi hayo mamlaka kamili
mtayaweza???
Nani kakwambia wameshindwana?????????? Wasababishi na wanaofanya mambo kuwa magumu ni hao wababe nadni ya ccm na wafanyao mambo kwa maslahi yao u bila kufikiria haki ya upande wa pili. Kama ccm inajiamini basina imalizie matokeo tuona walipata nini mwisho wa siku. Wakandamizaji wakubwa mnaolindwa na Katiba iliyopitwa na wakati.
 
Kama mnashindwa hata kumalizana kwa amani kwenye uchaguzi hayo mamlaka kamili mtayaweza???
Mwafaka wa kisiasa umepatikana siku nyingi Zanzibar, tatizo ni wanzazibari wachache wanatumiliwa na Tanganyika kuwanyima wanzazibari walio wengi kuchagua viongozi wanaowataka.
 
Back
Top Bottom