Kudadadaadeki!

Mi nahisi huyu mdada masaburi yake yamekuwa enhanced!
 

Naam Rubani, siku hizi ni pesa yako tu ukiwa nazo za kutosha hakuna kinachoshindikana under the sun. Mtu atachongwa pua, mashavu, kidevu na hata macho hadi aipate sura aitakayo. Na kama ana figure mbovu mbovu basi atapigwa msasa 😛eep: 🙂🙂🙂 na kupata figure ya kukata na shoka. Akitoka hapo akipita mtaani Wanaume macho juu juu udenda unachuruzika 🙂🙂🙂:majani7: kumbe mdada hana chochote kile ambacho ni original toka kwa Muumba wetu.


 
Hivi kwani lazima kitu kiwe original?
 
BAK, do u watch Dr 90210? Wachina wametuletea maskini a short cut kwa kuleta options za bei chee hata watoto wa magomeni tuzi-afford. Lakini most hollywood celebs wamefanyiwa kazi sema sio za kichina. Niliona mwanaume anawekewa reli zile za tumbo za silicone, katoka hapo kama gym trainer! Watu wanaongeza vigimbi, videvu, g-sport etc. Human race has become too desperate!
 
Reactions: BAK
Hivi Amerika ya marekani kuna uhaba wa maji? Mbona huyu Nick Minaj ana tongo tongo?
 
Hivi Amerika ya marekani kuna uhaba wa maji? Mbona huyu Nick Minaj ana tongo tongo?

Hahahahah lol! Siyo tongo tongo hizo banaaa....ni upakaji wake wa wanja na madudu mengine pembeni ya macho sijui ndiyo yanaitwa mascara ndiyo yanamfanya aonekane kama unavyodhani.
 
Njoo utoe maelezo yakinifu
😛oa

Ngoja tumsubiri G, labda DA atakuja kutufafanulia kwanini anaamini kwamba password yako kuna mtu aliitumia ili kuweka mabandiko katika uzi huu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…