Kudadadaadeki!

Maybe ....or not :p

Hivi kwani ili kujua mtu kapendeza lazima na wewe uwe hivyo hivyo?

some how ukisema kitu fulani kizuri
hasa kwenye tatoos unakuwa una idea na tatoos na meaning zake
na 'kupendeza' kwake kukoje....
ambae haju hiyo 'arts ' anaweza kuona uchafu
while anaejua aka admire...so
uliposema 'amependeza' umuhimu wa kukuuliza umekuja
labda umeelewa hizo tatoos meaning zake....
 
Sina hata moja na sidhani kama nitawahi. Nikajitafutie maumivu kwa kusudi!

Anyway katika mazingira yangu kuona tattoo au vitu vyengine vinavyochukuliwa weird ni kawaida kiasi cha kuwa I've learned to accept and sometimes appreciate the art.

Kwangu kuwa na tattoo hakumaanishi somebody is cheap
 
Nilisoma na msichana mmoja aliyekuwa na gothic style. Saa zote amevaa nyeusi, with lots of silver accessories with dark make up.

She was one of the smartest in the class and pretty cool when you get to know her.

So appearances don't mean much nowadays
 
Sina hata moja na sidhani kama nitawahi. Nikajitafutie maumivu kwa kusudi!

Anyway katika mazingira yangu kuona tattoo au vitu vyengine vinavyochukuliwa weird ni kawaida kiasi cha kuwa I've learned to accept and sometimes appreciate the art.

Kwangu kuwa na tattoo hakumaanishi somebody is cheap

actually kusema cheap ho
sio kwa ajili ya tatoos peke yake
nafahamu wapo watu wenye tatoos lakini wako
very decent na very 'cultured'

nimemuona cheap ho kwa ujumla wake
mitatoo ya kusambaa sambaa ovyo vyo
ku shoo video ya kuonesha 'big booty'
na kadhalika...
nahisi she is a porn actress.....
 
La kufutika tena? Mi napenda kuona za ukweli.

Sasa si mtu anaweka akijua atakukuta wewe for the weekend, Monday haitaki ifike geti la kazini.

Au hiyo inahesabika kama cheating? :D
 
Back
Top Bottom