Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,682
- 12,371
Kwenye pitapita zangu JF nikakukata na mshikaji analalamika kukuta emoj za kikubwa kwenye simu ya mkewe ambazo hajawahi kutumiwa na mke wake.
Kama unavyojua emoj unazozitumia sana ndio huwa zinakaa juu kuliko zisizotumiwa, sasa Jamaa anahisi kuwa kuna mtu huwa anatumiana emoj za na mkewe.
Sababu iliyofanya nifungue huu uzi ni jibu la mdau mmoja kuhusu inshu ya huyo jamaa kulalamika. Jibu lenyewe ni hili hapa,
Nanukuu "Wewe unashika simu ya mkeo ya kazi gani? Kwanini unaonesha udhaifu kama huo, by the way mtu mzima hachungwi hata siku moja zaidi wajitafutia maradhi ya moyo! Achana na habari za kushika simu ya mwenzio". Mwisho wa kunukuu
Swali kwenu wanajamii forum ambao mpo kwenye ndoa, na ambao mshawahi kuwa kwenye ndoa.
Je ni udhaifu kuchunguza simu ya mwenza wako, au kuchunguza tabia za mwenza mkiwa kwenye ndoa?
TUNAOMBA MTUJIBU.
Asante