Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,900
Kwenye pitapita zangu JF nikakukata na mshikaji analalamika kukuta emoj za kikubwa kwenye simu ya mkewe ambazo hajawahi kutumiwa na mke wake.

Kama unavyojua emoj unazozitumia sana ndio huwa zinakaa juu kuliko zisizotumiwa, sasa Jamaa anahisi kuwa kuna mtu huwa anatumiana emoj za [emoji533] na mkewe.

Sababu iliyofanya nifungue huu uzi ni jibu la mdau mmoja kuhusu inshu ya huyo jamaa kulalamika. Jibu lenyewe ni hili hapa,

Nanukuu "Wewe unashika simu ya mkeo ya kazi gani? Kwanini unaonesha udhaifu kama huo, by the way mtu mzima hachungwi hata siku moja zaidi wajitafutia maradhi ya moyo! Achana na habari za kushika simu ya mwenzio". Mwisho wa kunukuu

Swali kwenu wanajamii forum ambao mpo kwenye ndoa, na ambao mshawahi kuwa kwenye ndoa.

Je ni udhaifu kuchunguza simu ya mwenza wako, au kuchunguza tabia za mwenza mkiwa kwenye ndoa?

TUNAOMBA MTUJIBU.

Asante

Unachunguza kugundua nini na majibu yake utayapokeaje?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye pitapita zangu JF nikakukata na mshikaji analalamika kukuta emoj za kikubwa kwenye simu ya mkewe ambazo hajawahi kutumiwa na mke wake.

Kama unavyojua emoj unazozitumia sana ndio huwa zinakaa juu kuliko zisizotumiwa, sasa Jamaa anahisi kuwa kuna mtu huwa anatumiana emoj za [emoji533] na mkewe.

Sababu iliyofanya nifungue huu uzi ni jibu la mdau mmoja kuhusu inshu ya huyo jamaa kulalamika. Jibu lenyewe ni hili hapa,

Nanukuu "Wewe unashika simu ya mkeo ya kazi gani? Kwanini unaonesha udhaifu kama huo, by the way mtu mzima hachungwi hata siku moja zaidi wajitafutia maradhi ya moyo! Achana na habari za kushika simu ya mwenzio". Mwisho wa kunukuu

Swali kwenu wanajamii forum ambao mpo kwenye ndoa, na ambao mshawahi kuwa kwenye ndoa.

Je ni udhaifu kuchunguza simu ya mwenza wako, au kuchunguza tabia za mwenza mkiwa kwenye ndoa?

TUNAOMBA MTUJIBU.

Asante

Mjanja M1
Kama hutaki kuchunguza utagongewa Sana

Mchunguze Hawa wapuuzi wajanja wajanja sana

Kila siku wanabuni mbinu mpya
 
Kama unavyojua emoj unazozitumia sana ndio huwa zinakaa juu kuliko zisizotumiwa, sasa Jamaa anahisi kuwa kuna mtu huwa anatumiana emoj za
emoji533.png
na mkewe
Heri sie tunaoshinda tukicheka
😂😂😂😂 ni emoj za vicheko mbalimbali ndo vimejaa
 
Si mwanamke wala mwanaume, ndani ya ndoa kila mtu ana mapungufu yake. Sioni haja ya kuchunguza simu ya mwenzi wako. Zaidi ya hapo ni kutafuta ugomvi tu.
 
Napo mkikurupuka si mtaleteana watoto si wenu huko ndani plus magonjwa [emoji18]
Sometimes nahisi asilimia kubwa ya walioingia kwenye ndoa hawapendani kweli ndio maana hawana Wivu wala kufuatiliana.

Sasaivi kuna magonjwa pia, napata wasiwasi ninapoona wanandoa wanahalalisha kutofuatiliana.
 
Back
Top Bottom