hahahahahahahhah umenikumbusha mbali sana...nshachunguliwa sana tu na kizee kimoja mpaka nastukia nahisi mwaka na zaidi ulipita!Watu wengi wanafanya hii kitu ya kuchungulia watu. Hata watu katika miji ya maghorofa marefu kama vile New York hununua binoculars zenye nguvu kubwa na tena za bei mbaya kwa minajili ya kuchungulia wenzao wanaoishi maghorofani au wale wanaofikia mahotelini ambayo yapo jirani na sehemu zao wanazoishi ambao hufanya mapenzi huko maghorofani bila ya kufunga panzia
Nilipoliona hili kwa mara ya kwanza likizungumziwa katika kipindi kimoja cha TV na wahusika (wachunguliaji) wakikubali kwamba wanafanya shughuli hii nilishangaa sana.
hahahahahahahhah umenikumbusha mbali sana...nshachunguliwa sana tu na kizee kimoja mpaka nastukia nahisi mwaka na zaidi ulipita!
huyo dada alikuwa na kichaa chake maana vichaa viko vya aina nyingi...yaani hiki kizee kilikuwa cha ajabu usipime maana bwanangu ndo alikishtukia wa kwanza akawa anakilia mingo,akagundua kilikuwa kimejipa kazi ya ziada na hivyo kilikuwa pensionär kazi ikawa moja!Kama hutajali hebu tuwekee yaliyojiri labda tunaweza kujifunza mawili matatu kuepukana na hali kama hii. Halafu niliwahi kusoma kuna wengine wanapenda kuchunguliwa eti ni big turn on kwao!!! Kuna dada nilimsoma mtandaoni (mtu mweusi) kwamba alikuwa na ugomvi mkubwa na mumewe wa kufanya tendo la ndoa. Dada anapenda waende kwenye parks ama wawe ndani ya gari au nje na mume hataki kabisa hilo yaani yule dada alidai kwamba ndoa yao ilikuwa juu ya mawe katika kutokana na tofauti zao. Wako wengi wanaopenda kuchunguliwa kama huyu dada, unajua mtandao umetuwezesha kuyajua mengi ambayo miaka michache iliyopita yalikuwa hayajulikani. Ni mambo ya ajabu sana.
Umenikumbusha wakati nilipokuwa teenage, home ghetto langu lilikuwa uani mshikaji wangu alikuja kuniomba room nilimkubalia kwa sharti la kumpiga chabo akakubali. lakini huo ulikua utoto nimeshaacha.WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.
Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.
Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.

WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.

Umenikumbusha wakati nilipokuwa teenage, home ghetto langu lilikuwa uani mshikaji wangu alikuja kuniomba room nilimkubalia kwa sharti la kumpiga chabo akakubali. lakini huo ulikua utoto nimeshaacha.