Kuchungulia kifo

Nikajua kitonga, kumbe Pare mountains?

Mshana Jr usalama upo kiongozi? Ulikuwepo kwenye hiyo kadhia au umetupasha habari tu?

Jivu la kunguni muhimu sana.
 
Halafu mtu amesalimika hapo usiku anavuda mchepuko anagageda/dwa baada ya kuongeza maombi
 
mkuu hiyo njia ya kutoka mwanga...kupanda usangi au ugweno kwakina mshana.zamani hapo barabara ilikua ya vumbii balaa.ila now naona mpaka kikweni ni oyaoyaaaaaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…