Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Nafahamu kuna baadhi ya hospital za umma zimeingia mikataba na kampuni binafsi za computer na kupewa asilimia ya mapato ya kila siku kufidia uwekezaji (about 10 percent on daily basis). Je ni sawa??? Mheshimiwa kigwangala naomba majibu kwakua nina hakika unajua hili bila kujali wala kuathiri ukweli kwamba hiyo mifumo ya computer imesaidia kwa namna fulani kuongeza mapato ya hospital. Kwanini kusingekua na makubaliano ya kununua mfumo na malipo ya maintanance badala ya asilimia?Nawakilisha