Kuchukua Mkopo bank

Wakuu naomba tueleweshane vizuri kuhusu hii mambo ya mikopo ya mabenki hapa bongo!Ninakubaliana na watoa mada hapo awali ya kwamba loan officers wa mabenki hapa nchini sio trustfull. Mtu una apply mkopo loan office anakuzungushaaaaaa anataka kitu kidogo!kama kweli wewe unataka mkopo ukafanye business sidhan kama utakubali mtu akusaininshe loan ya milion 4 halafu akupatie only 3 milion.

Ila kama unahitaj kwa ajili ya matanuzi unaweza kukubali! ila kwa kusema ukweli kupata mkopo benki bongo ni headache!

Kuhusu issue ya SACCO's,sio kupanda na kuvuna kama mheshimiwa mmoja alivyosema huko juu!Saccos zinasaidia sana na watu wengi wamefaidika na Saccos,kwanza kwenye Saccos huwa hakuna bureacratic za kupata mkopo.

Vijana wakati ni huu wa kuamka na kufungua Saccos zetu wenyewe ili mabenki tuwaache na hela zao tuone watazipeleka wapi!

Siku moja nilikwenda Arusha nikakutana na mzee mmoja nikawa nabadilishana nae mawazo,akanitonya kuwa wao wana Saccos yao wameifungua akiwa na shida ya mkopo anajichukulia kiulainiiiii!niliwaza saana kama vijana wangekua na mwamko wa kuweka na kukopa!

Tusingepata taabu ya mikopo ya mabenki.
 
parachichi
hizo requirement za mwanzo zilikuwa sawa lakni pale walipoanza kuobngeza vikwazo ujue loan office alikuwa anataka umpe hela na hicho ni kitu ambacho kinaangusha sana biashara bongo

kuna wafanyabiashara kushirikiana na wafanyakazi wa benki wamekuwa wakichukua mikopo na majina tofauti bongo kwa ajili ya mambo ya ID na hii imefanya bank nyingi kuchange policy zao za mikopo

kuna mikopo ya aina mbili secured na unsecured
usecured inategemeana na kiasi
kama kiasi ni kikubwa unatakiwa kuonyesha bussiness plan na jinsi utakavyorudisha..
kama kiasi kidogo mshahara, contract yako ya kazi na payslip vinatosha..
 
nimefuatilia ushauri wa watu hapo juu, naukubali wa wengi. lakini uamuzi wako huu wa mwisho sio mzuri hata kidogo. kwanza kama wewe ni mjasilia mali kweli kumbuka nyumba sio asset, hasa pale unapojenga kwa pesa kidogo ulikuwa nayo. kwani return yake kwa uapngishaji wa mjini, ipo mabli sana. na kama ni yakuishi, ndo unakosea kabisa. angalia cha kufanya, zalisha pesa hiyo uliyonayo kwa kuangalia mazingira yako. labda kama unataka baada ya kujenga nyumba hiyo iwe dhamana kupata mkopo mkubwa zaidi, hiyo sawa, lakini hakikisha unahati miliki na value ya nyumba yako. ushauri, rejea kitabu katika google kwa jina la RICH DAD POOR DAD. unaweza pata cha kufanya.


Bwana Lukindo asante sana kwa kutuma link ya hiki kitabu "RICH DAD.POOR DAD" hakika ni kizuri na nashauri mwenye nia ya kuwa siyo tu mjasiriamali bali pia mwekezaji mkubwa akisome. Ni kitabu kizuri, asante
 
Unataka mkopo usojua pa kuupata?
Inashangaza kidogo.
Anyway utashauriwa.
mimi sijui.
 
Back
Top Bottom