MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Kwa hiyo jamaa ni mdogo wa Ibilisi. Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeh.Bibi 1 kachoshwa na tabia za mume wake,siku moja kwa ghadhabu akasema bora
ningeolewa na iblisi kuliko wewe
mumewe akamjibu dini hairuhusu m2 kuolewa na kaka yake
nalog off kama washawashaTeh teh...
Bibi 1 kachoshwa na tabia za mume wake,siku moja kwa ghadhabu akasema bora
ningeolewa na iblisi kuliko wewe
mumewe akamjibu dini hairuhusu m2 kuolewa na kaka yake
Bibi 1 kachoshwa na tabia za mume wake,siku moja kwa ghadhabu akasema bora
ningeolewa na iblisi kuliko wewe
mumewe akamjibu dini hairuhusu m2 kuolewa na kaka yake
Mwe mwe mwe umwe!
hahahaaaa
Ukimwambia wife wako hii lazma akusanye kilicho chake