Kuchora katuni kwa ajili ya show

kamandawasua

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
326
86
Habari,
Ninahitaji mchoraji katuni kwa ajili ya katuni show tunayoitengeneza. Hii ni kazi yetu wenyewe hatulipwi kwa hiyo nawe hautalipwa kwa sasa. Pindi tutakapo anza ingiza pesa kutokana na hiyo katuni basi nawe utalipwa.
Asante.
Kama wewe ni mchoraji na uko tayari kufanya kazi nasi basi nitumie ujumbe kwa PM.
 
Back
Top Bottom