Kuchonga Funguo za Gari

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,628
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia?

Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa anayemfahamu mtaalam.
 
Tafuta fundi abomoe hicho kidude cha kuingizia funguo , then Gerezani opp na ile shule ya sekondari ambayo zamani ilikuwa inaitwa Kisarawe primary school kuna jamaa anachonga funguo kwa computer dakika tano tu


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 

Asante mkuu, nitafanya hivyo. Unaweza kuwa unafahamu kama jumapili anafanya kazi?
 
Pia inategemea ni gari ya aina gani sio zote waweza chonga na zika washa gari,zingine ni lazima ununue funguo mwingine +chassis number the ufanyiwe mobilizing/programing
Ama unanunua ukiwa umechongwa then unafanya programing basi
 
Umechoka kutembea kwa miguu? Pia kuwa makini I.awezekana kabisa Ni trick ya wabayawako kukuibia kausafirikako mkuu.
 
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia?

Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa anayemfahamu mtaalam.

mkuu kwani una gari gani?? kuna gari hata kama una funguo original wafanye copy/paste HAIWASHI mpaka iwe programmed! sasa usiend tu wakabomoa kitasa kumbe gari yako ni BMW,VW,VOLVO utakula hasara haitawaka,kama ni CARINA na wenzio haina tatizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…