Kuchoma majani ni ibada au mazoea?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,734
Wakuu, moja ya mambo yanayoharibu mazingira ya ulimwengu wetu ni kuchoma majani hasa wakati masika inapoisha na kiangazi kuanza. Tabia hii imezidi hasa mkoa wa Tabora kwani hali ya hewa ni hatari watu wanajichomea majani kama ni mashindano vile! Kama ningekuwa kiongozi wa serikali ningeweka sheria kali kwa atakae fanya kitendo hicho. Lakini labda ni jambo la imani kufanya hivo, kama inaefahamu vema tabia hii atujuze na kwa nini mkoa wa Tabora tuu?
 

Attachments

  • IMG_20160628_191153_0.jpg
    30.6 KB · Views: 41
  • IMG_20160629_085214_0.jpg
    40.6 KB · Views: 42
  • IMG_20160628_085348_0.jpg
    94 KB · Views: 43
Ni yale maeneo wavivu wa kulima. Ni mwendo wa kuchoma na kupanda.
 
Wengine wanasema kufanya hivyo ni kuwakimbiza wadudu wenye hatari kwa jamii, kwa mfano nyoka, ng'e na wengineo
 
Daah! Nmekuja mbio nikijua kuwa ni kuchoma ganja.. ngoja nisepe zangu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wengine wanasema kufanya hivyo ni kuwakimbiza wadudu wenye hatari kwa jamii, kwa mfano nyoka, ng'e na wengineo
Hao viumbe vina haki ya kuishi mkuu. Kama ni usafi wa mazingira pana njia mbili za kufanya, 1 ni kupalilia na kuchimba shimo la kutupia na kufunika na 2 ni kufyeka hayo majani na kuyazoa na kutupia ndani ya shimo. Hali ya hewa inabaki nzuri tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…