Kuchoma choma kubaya, sijui nifanyaje

Kuchoma choma kubaya, sijui nifanyaje

Mmh kahabari kama ka uongo uongo. Mi siwezi kuamini labda uende uipangilie upya hii story yako.
 
Au mimi ndio sijakuelewa? Mie Sijaona Tatizo zaidi ya wewe kujitengenezea Tatizo.

Tufike sehemu tuwe watu wa kufikiria wenzetu na kuifanya Dunia hii iwe sehemu salama zaidi ya kuishi kwa kuhakikisha "peace of mind" inatamalaki.

Wewe ni mume wa mtu na unafamilia tayari. Hata ukivunjika kiuno una mtu tayari wa kukukanda na kukuunguza.

SIFA ya moyo ni tamaa, unadhani binti wa watu hatamani kuwa na familia na mtu wa kumlilia. Baada ya kupewa hizo taarifa ungeinua mikono juu na kumshukuru yeye alie juu kwa kumsaidia binti wa watu kufikia malengo yake.
Si kwamba nitaendelelea nae. Hapana. Yaani sina mpango kabisa wa kuendelea nae.
 
sasa hyo ndio haina ushemej tunakulaga yaan wewe utakula dada yake na demu wake wapi manfongoooo....
 
Hahahahaaa ndoa yako iko mbioni kuvunjika.
One day only lazima ukweli wote ujulikane.
Huna jinsi hapo cha msingi stop kuwa nae kwa muda.
 
Wakati nasoma Digrii ya kwanza miaka michache iliyopita, nilikuwa na mpenzi akisoma certificate. Tumefanya nae mapenzi sana hadi nikamaliza chuo.

Nilipomaliza chuo nikaajiriwa mikoani na kisha nikaoa mwanamke mwingine.

Kwa kitengo nilichopo, kila mwezi lazima nifike Dsm ambapo ndipo zilipo ofisi zetu kuu.

Siku zote ambazo nimekuwa nikija Dsm, nimekua nikifikia kwa mpenzi wangu huyu na tukiendeleza mapenzi, ingawa mimi nina mke.

Sasa, juzi nimepata mshtuko. Nimefika nyumbani, mke wangu akaniambia "shemeji yako (kaka yake mke wangu) amepata mchumba na anategemea kufunga ndoa hivi karibuni. Wakati akinipa habari hizo, kwa bashasha akawa ananionyesha picha alizotumiwa whatsapp. Kuangalia, ni yule yule mpenzi wangu tangu nikiwa chuo.

Ingawa aliwahi kuniambia kuwa, kuna mtu anataka kumuona, sikujishughulisha kuulizia details zake ama kumjua kwa sura.

Nimejisikia vibaya sana, maana nitakuwa nimeshea mwanamke mmoja na shemeji yangu. Ila nimeongea nae kila kitu huyo mpenzi wangu. Nimemueleza isitokee akaonesha kunifahamu.

Nimeona niyamwage hapa, labda nitakuwa nimeutua mzigo.
Kausha hivyo hivyo,mwache mpenzi wako naye apate Mume km wewe ulivyokua una mke.
 
MAN FONGO Theory proved 100% hakunaga ushemeji tunakulaga!
MAN FONGO Theory revealed the secreat, what next kama brother hataweza ku perfom sawasawa....man fongo ataleta part II, mziki wake ukipona sana utalazwa ICU otherwise tunaweza kukusahau!!
 
Siku zote mtu anapokueleza kitu juu ya mtu na akaonesha kustuka jua kuna kitu behind the scene kinaendelea au kilikua kinaendelea....
 
wanawake huwajui! uyo mwanamke ye anaona ni sawa tu hakuna tatizo! kuolewa na uyo jamaa hali shemeji yake ametoka nae lakini huyo bwana akilogwa akamwambia uyo bwa-she ametembea na mke mtarajiwa basi ujue hata yeye hamna ndoa apo uyu mwanamke ataambiwa na jamaa yake kwann amegairi kumuoa na yeye kila kitu kitakuwa hadharani na ndoa ya jamaa huenda ukavunjika

Pengine mwanamke hajamwambia jamaa bado kuwa anaolewa, au kama kamwambia hajamwonyesha au kumtajia na nani,
Pengine hajui mchumba na mchepuko ni ndugu,
Anything is possible
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom