Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Wakati nasoma Digrii ya kwanza miaka michache iliyopita, nilikuwa na mpenzi akisoma certificate. Tumefanya nae mapenzi sana hadi nikamaliza chuo.
Nilipomaliza chuo nikaajiriwa mikoani na kisha nikaoa mwanamke mwingine.
Kwa kitengo nilichopo, kila mwezi lazima nifike Dsm ambapo ndipo zilipo ofisi zetu kuu.
Siku zote ambazo nimekuwa nikija Dsm, nimekua nikifikia kwa mpenzi wangu huyu na tukiendeleza mapenzi, ingawa mimi nina mke.
Sasa, juzi nimepata mshtuko. Nimefika nyumbani, mke wangu akaniambia "shemeji yako (kaka yake mke wangu) amepata mchumba na anategemea kufunga ndoa hivi karibuni. Wakati akinipa habari hizo, kwa bashasha akawa ananionyesha picha alizotumiwa whatsapp. Kuangalia, ni yule yule mpenzi wangu tangu nikiwa chuo.
Ingawa aliwahi kuniambia kuwa, kuna mtu anataka kumuona, sikujishughulisha kuulizia details zake ama kumjua kwa sura.
Nimejisikia vibaya sana, maana nitakuwa nimeshea mwanamke mmoja na shemeji yangu. Ila nimeongea nae kila kitu huyo mpenzi wangu. Nimemueleza isitokee akaonesha kunifahamu.
Nimeona niyamwage hapa, labda nitakuwa nimeutua mzigo.