Madokta na lugha ya kingeereza...Dr.chapa kiuno, hiyo lugha sasa!! kumbe ndivyo mlivyo madokta, mgonjwa lazima aandikiwe dozi kwa ki inglish muda woteee!!
Haya mgonjwa hayo ndo majibu ya dr. ila kama vipi hapo juu kuna option ya translate itumie kama lugha yake itakua inakusumbua si unajua sisi waswahili bwana kiinglishi lugha ya shule.
Dr.chapa kiuno, hiyo lugha sasa!! kumbe ndivyo mlivyo madokta, mgonjwa lazima aandikiwe dozi kwa ki inglish muda woteee!!
Haya mgonjwa hayo ndo majibu ya dr. ila kama vipi hapo juu kuna option ya translate itumie kama lugha yake itakua inakusumbua si unajua sisi waswahili bwana kiinglishi lugha ya shule.
Za asubuhi wadau, hope wik end zenu ziliisha salama...
Swali langu la leo ambalo ningependa mnisaidie ni;
Kwa nini kila nikiamka asubuhi najihisi nimechoka?
Tatizo hili limeanza karibuni tu...
Siku njema wote.
....ikiwezekana iwe ni sehemu ya kulala tu sio kujaza viatu, nguo, vitabu, maji, magunia ya nafaka nk
Za asubuhi wadau, hope wik end zenu ziliisha salama...
Swali langu la leo ambalo ningependa mnisaidie ni;
Kwa nini kila nikiamka asubuhi najihisi nimechoka?
Tatizo hili limeanza karibuni tu...
Siku njema wote.
Nilipokuwa chuo nilikuwa na hilo tatizo kwavile kitanda kimoja tulikuwa tunalala watu 4, so total room watu 10. Na wengine hata wakioga bado walikuwa wananukia UTU UZIMA.