Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Uvivu wa kufanya mapenzi ni birth control, nilikuwa namjibu Tuko!

ha ha haaa... hivi siku ukiwa hujisikii na mzee unamuona kabisa siku hiyo anataka unatumia kisingizio gani?
 
Wanaume tuna kazi?
Women liberation kwenye mahusiano ya mapenzi ni ndoto kabisa!


Tuwe Realistic! Tunapoongelea woman libaration kwenye mahusiano does it have
to be independence? I like a man in control, awe na uwezo wa kulipa. sio kwamba mimi sitalipa,
nitalipa ile ya kusema nae apate breathing space. Tukiongelea Liberation kweye sex katika maisha
yetu ya kiswahili haya ni uongo mtupu! Nani anaamua wapi mkafanye? Nani kwa kiasi kikubwa ana
control tendo na stlye zake? nani anaamua condom itumike? Kwa kiasi kikubwa ni mwanaume.
Wanawake tumeamka but still wengi still weak wen it comes to sex related activities.
Hivo usitegemee complete liberation anytime soon.
 
Okada wewe wa ukweli. Hii nitaifanyia kazi. Ila nina swali, mwanamke
atajua vipi mashine yake inalipa kabla hajakutana kimwili na mwanaume?

Hivi na wanawake wanajuaje vile?Au mpaka baada ya gemu ndo jamaa anakuambia?
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. Kugoma kwangu kwenda ndio imekupa picha mie mjasiriamali?

Sasa wewe unaona hiyo condition imekaa sawa sawa? Imekaa kibiashara zaidi. Labda ungesema kivingine...by the way, raha si mnapata wote kwahiyo mnatakiwa mlipie wote. Au mi ndo naota.!!!!
 
Okada wewe wa ukweli. Hii nitaifanyia kazi. Ila nina swali, mwanamke
atajua vipi mashine yake inalipa kabla hajakutana kimwili na mwanaume?

Erotica: jamaa wanavyoisikilizia, na kama kweli ni lovers wa uhakika watafunguka tu wangu, watakupa live!
na hata kama ni wale wasiosema, jamaa wakikutana na mashine ya nguvu utasikia tu Miguno miguno!
Si unakumnbuka zile scania 111, Leyland CD and Albion?? Zilikuwa zikipata wapoiga fimbo, zinatoa watu mitaani!
 
Hivi na wanawake wanajuaje vile?Au mpaka baada ya gemu ndo jamaa anakuambia?

Wangejua kusoma alama za ishara wangejua kirahisi. Mfano kila mwanaume anayedu nae hataki kurudia round ya pili, na haombi tena tundi...
 
Mchina oyeee!
Namshukuru Mungu najikubali na kujiamini nilivyo japo urembo natumia lakini maji yakipita tu nabaki kama nilivyo.
 
Wangejua kusoma alama za ishara wangejua kirahisi. Mfano kila mwanaume anayedu nae hataki kurudia round ya pili, na haombi tena tundi...

Na pia utajua kwa jinsi anavyosikilizia machine......?????
Akikolea utamwona tu, anapararika kama mtoto mdogo.....
 
Wala situmii kisingizio chochote; ninamwambia na tunaelewana!

Wewee... utamwambia saangapi? Maana mwanaume akishakoki mashine gun ni ngumu sana kumwambia rudisha rudisha upanga wako alani....
 
Mtu akiwa natural anavutia zaidi kuliko akijijaza mavitu kibao yasioyo eleweka...na mi huwa sivutiwi na mtu anayeonekana artificial...I mean nywele si zake, kucha si zake, ngozi ya uso si yake...naogopa hata ile kitu nayoitafuta inaweza ikawa si yake pia.
 
DESIRABLE.., !!!, that's a relative term...
whats more desirable a booty enhanced with some cloth or a flat booty (or normal booty) naked without any cloth..?
Eyes full of Wanja... or Normal Eyes (no matter how they look) but full of invitation and calling, saying am ready for you?
Hips hidden by a cloth.., or hips just natural with a skin kama vile ulivyozaliwa..?

Point yangu ni kwamba kama mtu amekupenda ukiwa umevaa there is more alichokupendea (unless its lust) na ukiwa naked am sure atavutiwa zaidi (and whats every woman has is enough to satisfy any man).. LAKINI tatizo huwa ni kwa muhusika mwenyewe mwenye mwili maybe not feeling confident kwenye her own skin..

Hivyo basi wigs / nails and the like might be more effective nje na sio inside a room (thats why kuna wanawake wakifika home wanatundika their extras.., because their job is done.., what needed within the four walls of the room comes from within)


Come on Sun, of coz we are talking about lust hapa. Are you saying kila
mwanamke unaekuvutia inakuaga love to you? I am just being realistic hapa.
I bliv with you guys mnaanza lust, luckly in the long run inaweza kua Love.
ingawa kuna exceptionals..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom