Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Mwenzenu sikukuuu hizi kuna mume wa mtu kiporo nanisumbua mda sanaaa! Tatizo mkewe baunsa afu ana mkono kinomaa akikupa kichapo utalala wiki mbili unajiuguza jeraha tu so nikaona atanimalizia huu mguu isiwe ishu. Nikamheshimu sijui kumuogopa mumewe nikaka nae futi mia usawa wa bahari.
Shida mwanaharamu, sikukuu mia sinaaa! Nikawaza ndo nilale ndani kweli? Hataaaa! Nikaona simba mkali lakini anazaa itakuwa mkewe kweli? Nikamext tu dear sikukuu majanga! Ikaingia igo pesa ya Kilo 1. Nikasma si haba nikaenda kusuka, hukunashushia zanzi. Nikamtext thank you! Ndo kuanza tunaonana wapi baby usiku! Nikataka nimchambe na kumchabua kunipa laki si pesa dkika kumi anataka anileee! Nyooooooooooo! Nikakumbuka dkika kumi zilizopita nilikuwa sina hata mia acha hio laki! Amenikirimia ukute kwake wamebandika maini ya mbeya!
Nikawa nachat nae kumpa false hope n kumtrick kuwa tuko same page. Lahaula jioni mkewe kapiga simu! Naona unataka KUMBINAFSISHA na KUMTAIFISHA MUME WANGU! Upewe laki ya sikukuuu kwa monyo gani? Mwenyewe sijapewa laki na kwausalama wakolaki hio irudishe kwenye hii namba! Mikwara kibao! Nikaona huyu anataka kunbinafsisha laki yangu. Thunbutuuuuuuuuuu!
Nikaamua nimchemshe kidogo! Nikamwambia sikiza bbieikii, ushajua huyu bwana muhuni hakufai si umuacheee! Niachie mie nisie n choyo. Aliniporomohea mitusi huyo! Na huyu bwana simuachi na nikikushia ama zako ama zangu! Naenda Tanga kukublidisha hadi unikome! Unazni mume ana okotwa? Ama zako ama zangu! leleleleeeeeeeeeeeee! Kuchezewa mume wangu nawambia ntakuumiza untie mada case bureee!
Nachouliza MUMEO ANACHEZEWA AU ANACHEZA NJE MWENYEWE? KWANINI USIMDISPLINI MUMEO? SIO NDO UNACOMMITMENT NAE?
Ha ha haaaaaa!! @lara1 ana hasira leo
Maini ya mbeya!
Mnachezeana!
Hizi stori huwa ni za kweli au mtu kaamua tu kutunga?
Wakati wadada wanamtolea macho huyo ndege anawatolea nini???
Sasa wewe kama unakaa kimazichana si lazima ushangae watu kuhonga laki kabla hajala mzigo!
Ila kama wewe ni mtoto wa mjini huwezi kushangaa hayo, maana kuna kipindi watu tuliogopa hata kununuwa magari ya rangi nyekundu maana kuna mtombaji mmoja maarufu alikuwa pale BOT ndio ilikuwa dau lake la kuhonga.
Yule jamaa asingeletewa unoko hata orodha ya warembo sasa hivi kusokomezwa vipipi vya sembe M.K.U.N.D.U.N.I kupeleka China ingepunguwa.
Una hamu nikuchambeeee! Nikikuchamba utazimiaaa! Kazi zenyewe hazieleweki! Kazi tembo mshahara sisimizi.
Sasa wewe kama unakaa kimazichana si lazima ushangae watu kuhonga laki kabla hajala mzigo!
Ila kama wewe ni mtoto wa mjini huwezi kushangaa hayo, maana kuna kipindi watu tuliogopa hata kununuwa magari ya rangi nyekundu maana kuna mmoja maarufu alikuwa pale BOT ndio ilikuwa dau lake la kuhonga.
Yule jamaa asingeletewa unoko hata orodha ya warembo sasa hivi kusokomezwa vipipi vya sembe M.K.U.N.D.U.N.I kupeleka China ingepunguwa.
Mkuu ebu ntake radhi, si uangalie location yangu! mie huko unakosema hata sipajui kukaa mjini ndio kujua huu ujinga? Huyu mdada huwa ana tustory dizain hii anaanzaga na preamble za igwee then anatupa sjui fix or reality.
Jifunze kuandika kwa adabu sio kila mtu ni age mate wako humu
Hebu acha uzuzu wewe, nikutake radhi kwa lipi?
Kama thread za Lara 1 huzipendi chapa raba, sisi hatuna haja ya kujuwa weither is fabricated or genuine, I realy like Lara 1 she one and only.
Na wewe hujakatazwa kuleta thread za huko kwenu huko mchambawima.
Umeshinda boss, samahani sana
na atakojozwa kweli chezea mtu wa tanga weye muache akione cha mtema kuni ndo atajua kachumbari mboga au la
mtu na elimu yake akili ziro
khaaaaaaaaaaaaa inabidi wadogo zake tuwe tunampa darasa huyu manake anaonekana anahitaji ushauri nasaha