BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Atupisheee kule! UCHUMBA WA MIAKA 10 na USHEEE! Kabeba mimba KUFOSI NDOA baada ya kuona ANAZEEKA na Rube kamchunia chuu ANAMCHUNA TU!!!!!!! Ndoa hamna paleeeeeeeee!!!!!!!!!!!
Rube anamtendea VISA yule dada wewe, ungejua ungemhurumia ila BADO YUMO! YAACHE TU!
Nitasutwa na Mashujaa Band mie!
Sawa ila LAKI SIRUDISHIII!!!!!!!!! Ndo kiendacho kwa mganga hakirdi hivooo!
Hyo ni film au tamthiliaa!??
chamba utakavyo lakini ujue unajiabisha mwenyewe tushakuchoka na hao waume unaowaiba mwanamke tafuta wako akutunze khaaaaaaaaaaaaa huna hata haya kila siku kujisifia maujinga grow up bidada
Una hamu nikuchambeeee! Nikikuchamba utazimiaaa! Kazi zenyewe hazieleweki! Kazi tembo mshahara sisimizi.
Ngoja mtu akojozwe damu mwaka then tutapata story zingine...
Rudisha hela za watu......laki moja itakucost hiyo shauri yako,pesa yenyewe mbuzi..
Ila waume za watu sio dili kabisa. Sasa laki imetosha kusuka na zanzi ngapi? Afu inabidi mwanaume mwingine achangie nyama na wese. Tembeza bakuli shosti usihofie dhoruba tafadhali
Hujaelewa alichomaanisha lala mokoPole dada yangu kwa kuingiliwa kwenye anga zako,just s little caution mimi ninadhani inabidi ushughulike na mmeo kwa kuongea naye huenda keshakengeuka kwa kuonjeshwa papuchi za kila aina so keshaonja asali na kesha chonga mzinga!
Wakati wadada wanamtolea macho huyo ndege anawatolea nini???
Kwa nini mume atoke nje ya ndoa? Ukishamgundua hajatulia jaribu kuongeza siku za ku-do kwa wiki, kama zilikuwa 2 au 3, basi fanya 4 au 5. Hakikisha wewe ndo unakuwa mchokozi, akitia mguu home, hakikisha unakuwa nae karibu muda wote ili asipate muda wa kufikiria wengine.
Hizi stori huwa ni za kweli au mtu kaamua tu kutunga?