Kuchepuka raha

Sio mashindano, bali anatafuta kile kitu amekosa kwa mumewe. Na amekipata.
 
Hongera Dada kaza Mwendo kama umepata raha huko, ila nakushauri hamia uko.

Kuna shida kubwa kuchepuka wengine tumechepuka tukakutana na hayo tumeona ni ujinga tumeamua kuvumilia kama wewe unashangilia kaza mwendo
Hebu tuambie ulipochepuka ulikutana na nini!! Mbona wenzio tuanakutana na raha tu!!!
 
Basi siku ya mwisho hakuna hukumu kama na wewe ni mmoja wao. Ukoswe hata kwa kosa la kunena?
Ndipo utakaposhangaa!! Yaani nitakuchochea na yale magogo yasiyoisha haraka.
 
Hongera Dada kaza Mwendo kama umepata raha huko, ila nakushauri hamia uko.

Kuna shida kubwa kuchepuka wengine tumechepuka tukakutana na hayo tumeona ni ujinga tumeamua kuvumilia kama wewe unashangilia kaza mwendo
Usichepuke kwa ajili kumkomoa mtu wala kushindana wala kulipa kisasi
 

Hivo kumbe wapo wasiochepuka eeh!!!
Kuna mama mchungaji flani hivi wa kanisa kubwa tu hapa mjini, asee mama mchungaji anapigwa miti si kitoto ha ha ha afu mida yake ni mida ya kazi saa nane tayari yupo home kuandaa msosi wa baba mchungaji
 
Sasa hivi amani mnoo mapenzi motomoto hata asiporudi akirudi asubuhi nampokea na pole nyingi

Haaah haaaah....wewe umenishinda tabia! Raha jipe mwenyewe, maisha yenyewe yako wapi ya kuwekana roho juu!
 
Teh teh eti amuombee mumewe. Mke nani anamuombea? Hamuwaombei wake zenu ndo maana tabia zao zimebadilika.
 




nabishana watu sita lakini akili zenu ukizijumlisha ni za mwanaune mmoja tena mwenye miaka 22.


ndo maana sulemani alioa wana wanawake zaidi ya 1000 na walikuwa hawamsumbui akili ni kwasababu akili ya mwanaume ni PANA.


na hakuna mwanamke alikuwa anachepuka yani niwe na mke mmoja alafu achepuke nisijue sintakuwa bogasi kama wanaume wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…