chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Umekariri dyudyu kitandani, dyudyu kifo cha mende..... Lazma uyaone kawaida unatakiwa uwe na amsha amsha
Haleluyaaaa!!!Really?
Mi mbona naona siku zote wanazo tu hizo nguvu za kuchiti....
Ukiwa mtu mwelewa wala hutopata shida kujua kuwa siku zote huwa wanachiti.
Hata humu wapo wengi tu wanaochiti na najua hilo kwa uhakika wa asilimia 110....hahaha....sitaki maswali nimejuaje.....
Test ndogo ya kuweza kupata fununu kama mtu anachiti, awe mkaka au mdada, ni simu.
Wangapi wapo tayari wenza wao waziguse simu zao muda wowote ule bila tatizo?
Ila pia simu si kigezo cha uhakika kivile. Mtu anaweza kukuachia ushike simu yake utakavyo na bado akawa anachiti vilevile....
So bottom line, both men and women cheat at the same level.....
Marahabaaa mtoto mzuri, haujambo?Shikamoo espy
Ila mimi kuniombea hautaki eti jirani?
Hayo sio mapepo, huyo ndio mke sasa, yaani kila ukimuhitaji yuko tayari. Sio wale wa oooh nimechoka,mara oooh ninaumwa. Upewe nini tena kama sio mke mwema kama Evelyn Salt???
Haya sema Ameeeen!!
Sie tulishawazoea angalau tumepata mbadala wa mchepuko, sasa wanataka na watoto wapate mbadala wa baba!!! Wajitafakari sana.Mmh naona aibu kwa ajili yao.
Yani aache kutafuta madeal bar acheze na watoto? Utakuwa umempa limbwata aisew.
Wish hawa wenzetu wangejua wana part kubwa sana katika malezi ya watoto apart from kumeet mahitaji yao ya kifedha. I honestly wish..
Wala mimi sihalalishi hayo afanyayo ndugu yangu. Wote tunafahamu kuwa sio vizuri alichofanya.Demi ni haki yako kumpenda nyani ngabu...ila mshaur mwenzako vizuri kuhusu ndoa yake..even if mume wake anacheat haiwezi ikawa ndo sababu ya yeye kutokwenda kuulizwa na Mungu wake kwamba alifanya nn ili kuuilinda ndoa au alismama kiasi gan kuijenga hii ndoa.akumbke tu every success need a sacrfise...na Mungu hazijui dhambi njema
Ameeeeen!! Yaani watuombee mpaka wapate sugu za magoti.Ni kweli kabisa, family nyingi zinasimama, watoto wanafika mbali kwa ajili ya mama kupambana.
MUNGU atujaalie maisha marefu kina mama wote Amen.
Kina baba mutuombee (in magu's voice)
Uliwahi yatumia nini!!! Maana sio kwa experience hiyo.Mwanzoni haikuwa bamia ila baada ya kuchepuka ameona imekuwa kibamia? Huyu ameathirika na matunizi ya matango yale yaliyowekwa mbolea nyingi yakaumuka sana.
Si wanajua wakishakuweka ndani wamemaliza. Haya ngoja tu wasaidiwe.Sio tu mwanzoni, ndo ujue mke anakupenda pamoja na mapungufu yako, na shida zako anakuvumilia, anakuthamini, badala yake unamuona fala..... Akichoka kuonwa fala ndo matokeo yake hayo
Kumbe mara moja moja unakuwaga 'mtakatifu'..?Ninyi fanyieni tu uzinzi ila kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti!(Warumi 6:23)
Na hii sucrifice inatakiwa iwe ya mke tu!!! Ndio kajisucrifice hivyo kutafuta faraja ili ailinde ndoa yake asigombane na mumewe kila siku kisa dyudyu.Demi ni haki yako kumpenda nyani ngabu...ila mshaur mwenzako vizuri kuhusu ndoa yake..even if mume wake anacheat haiwezi ikawa ndo sababu ya yeye kutokwenda kuulizwa na Mungu wake kwamba alifanya nn ili kuuilinda ndoa au alismama kiasi gan kuijenga hii ndoa.akumbke tu every success need a sacrfise...na Mungu hazijui dhambi njema
Kwani watoto wa nje sio watoto jamani?huyu ata nipewe na milion 50 simtaki. huyuu anaweza akakuletea watoto wa nje.
Sijambo. Naona Evelyn Salt kaliamsha DUDE kwa uchochezi wakoMarahabaaa mtoto mzuri, haujambo?
πππKwani neno "jirani" wewe unalielewaje?
Alafu sigawi hovyo, notoa kwa mpangilio maalumu, kwa mume na kwa mchepuko tu.
Huo usinga anza kuuweka kwenye kadudu kakowewe dawa yako USINGA ukichepuka kinanatia huko ndo utaacha kuinamishwa na madereva boda boda.
Una uhakika hao unaolea hapo ndani ni wako???huyu ata nipewe na milion 50 simtaki. huyuu anaweza akakuletea watoto wa nje.
No espy ain't mean hvyo..yani si kitu kzuri kwa mwanandoa yeyote kufanya hii kitu ya kuchepuka au kumwona mwezie kma mtu mdhaifu au mdgo sana wakati the time ulivyokutana nae ulikuwa humble...OK espy hivi huyu dada anavyochepuka instead of kukaa chini na kujarbu n jinsi gani ya kuweza kunsuru hii ndoa yao inayoyumba hivi kweli kuna kitu kitasaidka hapo...yani bora akajarbu kutafuta njia ya kumbadlsha huyu jamaaNa hii sucrifice inatakiwa iwe ya mke tu!!! Ndio kajisucrifice hivyo kutafuta faraja ili ailinde ndoa yake asigombane na mumewe kila siku kisa dyudyu.