Kuchepuka raha

leo watatoa povu la omo
 
hapo ndiyo wanaume mnapojidanganya na bora muendelee kujidanganya
 
mhmmhmhmhmhmmmmmmmmhhhhjmmmhmnhhhhhh
si vyema kabisa kuchepuka kwa mtu ambae anakupa amani upendo na raha zote za kimataifa anakupeleka paradiso unaishi life la high quality yani yale classic
useme nini usipewe???
upendweje kwa mfano??

Thank lord for my wan n onli Smart911


cc Smart911
 
Mhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
Wanaume mnayaanzisha yote haya!!! Unaona mke anakusigia kila siku unajiona kidume na kuanza kugawa dudu hovyo nje... Kumbe una kibamia na shughuli huijui!!! Ata kama kumdhalilisha mumeo si ustaarabu, Mnajitakiaga kudhalilishwa.
 
Yaani huu uzi ungeandikwa na mwanaume ungeona jinsi ambavyo angesifiwa!!!
Sasa hao wanaume wanaojisifiaga kuchepuka ndo wajue sasa kua wake zao hawawasubiri tu, nao wanatafuta michepuko! Huyu dada wala simshangai, sema tu yeye kajitoa ufahamu na kuandika hapa... Ila hili lipo kwenye jamii... Wanawake kibao kwenye ndoa wanachepuka. Wanaume waamke, usidhani kumueka ndani na kuendelea na michepuko unamkomoa... Mnakomoana siku hizi
 
Ulijiona mjinga kisha ukajiona mjanja zaidi ya wajanja ni vizuri sana kwa kujitambua huko.

Umetueleza mapungufu ya mumeo Je wewe umekamilika 100%?
 
Hata huyo alompata hana dudu nzuri tafuta wengine kama wa5 upate nyingi tofauti ndo utaona raha yakuchepuka... Kamchepuko kamoja unasema raha kuchepuka.
 
We mtu unamoyo asee unachezea wadudu wawili hahahahahahahaha hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙂
 
Teh teh wanaume wa jf wanafiki sana. Hapa ingekuwa ni mwanaume kapost basi angepongezwa vya kutosha. Angesifiwa kwa kuvuta kitu, wengine wangesema safi sana ndio dawa yao.
.
.
Chepuka tu bidada. K ni yako, ndoa ni yako! Life is too short!
Just be careful!
 

Inasikitisha sana kwa mtoa mada...
Pole yake sana...

Ila tabia za mtu unazigundua mapema baada ya muda fulani, sasa kama alijua jamaa ni mchepukaji kwa nini alikubali kuolewa... Cheating ni mbaya sana, kwa sababu siku ukifumaniwa ni hatari sana... Ukiwa mtu wa kuchepuka mara nyingi maisha yako yanakuwa ya wasi wasi...

Nashukuru Mungu sioni mwanamke mwingine zaidi ya mahondaw wangu... na mahondaw wangu hajawahi kunionesha dalili zozote mbaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…