nimependa hapo pa kuagiza soda.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
amekosea kwa kweli. Mume ni mume tu hata kama awe na kibamia huna sababu ya kumsema huku.sasa hilo la kibamia linakujaje huku?? mngese sana wewe
mna vituko jamani humu? ila I like itwanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Na kwa kauli hiyo ukija kuoa hamna rangi utaacha ona, mdomo huumba.kwa mtindo huo..acha nisioe tu..na kamwe sitokuja kuoa.
Kuna baba alichepuka mtaa wanaoishi hadi watoto wakajua, watoto wakamdharau sana baba yao na kuwa karibu mno na mama yao.Teh afu bado wanategemea wake zao wawe waaminifu
Khaa ahsante sana. Em tuwaombeage watoto wetu wasirithi matabia yetu ya hovyo, Mungu awaepushe na laana zetuKuna baba alichepuka mtaa wanaoishi hadi watoto wakajua, watoto wakamdharau sana baba yao na kuwa karibu mno na mama yao.
First born akapata ujauzito akiwa form two, baba alipanik akataka kumpiga mtoto na kumlaumu kuwa anamchafulia jina kwa umalaya wake, mtoto mbele ya walimu akamjibu baba yake "umalaya nimerithi kwako".
Ahakikishe anafumuliwa na malinda! Siku akirudi kwa mumewe awe ameshafanya ushetani wotewanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Anajifariji tu labda mumewe atakuja jf asome huo upuuzi wake amuumize kiaina. Heshima ya mwanamke hupotea pale anapoanza mahusiano nje ya ndoa. Anaanza kudharaulika na huyo bwana anaechepuka nae na kisha jamii nzima itakuja kumdharau. Hata watoto wake wakijua watamdharau. Hata yeye akili ikimrudia atajidharau sana. Maisha ya kuishi kwa kujutia makosa uliyotenda yanaumiza sana moyo. Lazima mwanamke afikiri mara mbili kabla hujaanza kutoka nje ya ndoa yakeNkujifarij tu lakin anaumia
Yule baba alikuwa malaya acha tu, yaani alivuruga kweli, mbaya zaidi hadi watoto wanajua, yule mama alikuwa wa kulia tu. Ila kuna aibu alikuja kuipata hadi kazini kidogo afukuzwe kazi, alinywea na adabu zikamrudi, japo ndio uzeeni. Too late, damage was allready there.Khaa ahsante sana. Em tuwaombeage watoto wetu wasirithi matabia yetu ya hovyo, Mungu awaepushe na laana zetu
Lazima ikupe hio..... Double standard ni chungu sana kumeza.Ni kweli mkuu zinaa haikubaliki kote kote. Nilitaka tu kufahamu kutoka kwa wanaume wachepukaji ambao hawataki wake zao wachepuke..je huwa wanachepuka na wanawake wa aina gani? Maana wengi tunaona mume wa flani anachepuka na mke wa flani. kwanini wasiache kutongoza wake za watu? Watongoze wasichana wasioolewa kidogo nitaelewa.
Tunatongozwa na hao hao waume za watu. Halafu mtu huyo huyo anayetoka na mke wa mwenzie anakuja hapa kusema mke hapaswi kuchepuka. Inanipa shida kidogo.
Hivi wanaume hawajutiagi wakichepuka? Nyie mnafikiriaga kabla ya kutoka nje ya ndoa? Yani mimi jamani navyowadharau wanaume wanaochepuka huwa nawarushia na Mawe. Yani wananitia kinyaa ptuuuuAnajifariji tu labda mumewe atakuja jf asome huo upuuzi wake amuumize kiaina. Heshima ya mwanamke hupotea pale anapoanza mahusiano nje ya ndoa. Anaanza kudharaulika na huyo bwana anaechepuka nae na kisha jamii nzima itakuja kumdharau. Hata watoto wake wakijua watamdharau. Hata yeye akili ikimrudia atajidharau sana. Maisha ya kuishi kwa kujutia makosa uliyotenda yanaumiza sana moyo. Lazima mwanamke afikiri mara mbili kabla hujaanza kutoka nje ya ndoa yake
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya maisha ya sasa kwa sehemu kubwa yanakatisha tamaa sana.
Especcially mtu ukisoma thread kama hii
Mungu wa mbinguni atusaidie tu.
Alifanyaje tena? Mwana kuyatafuta mwana kuyapata. Mtoto gani atakayemuheshimu mzazi anayehangaika na ufuska?Yule baba alikuwa malaya acha tu, yaani alivuruga kweli, mbaya zaidi hadi watoto wanajua, yule mama alikuwa wa kulia tu. Ila kuna aibu alikuja kuipata hadi kazini kidogo afukuzwe kazi, alinywea na adabu zikamrudi, japo ndio uzeeni. Too late, damage was allready there.
Kabisa mkuuHaya maisha ya sasa kwa sehemu kubwa yanakatisha tamaa sana.
Especcially mtu ukisoma thread kama hii
Mungu wa mbinguni atusaidie tu.
Eti unasema!! Na mwanaume anaechepuka anaheshimika eeh!!Anajifariji tu labda mumewe atakuja jf asome huo upuuzi wake amuumize kiaina. Heshima ya mwanamke hupotea pale anapoanza mahusiano nje ya ndoa. Anaanza kudharaulika na huyo bwana anaechepuka nae na kisha jamii nzima itakuja kumdharau. Hata watoto wake wakijua watamdharau. Hata yeye akili ikimrudia atajidharau sana. Maisha ya kuishi kwa kujutia makosa uliyotenda yanaumiza sana moyo. Lazima mwanamke afikiri mara mbili kabla hujaanza kutoka nje ya ndoa yake
Wanamuheshimu wachepukaji wenzieEti unasema!! Na mwanaume anaechepuka anaheshimika eeh!!
Wewe oa....mimi nimeolewa na sina ht wazo la kuchepuka...uchepukaji na umalaya ni tabia ya mtu..ss km sikuwahi kuhangaika huko nyuma ss hivi nitafute nini...ss hivi kwangu its all boutkwa mtindo huo..acha nisioe tu..na kamwe sitokuja kuoa.
Hata wanawake hupata aibu kwa jamii hunyooshewa vidole kwasana ana mke mzuri kinachompeleka huko nje nini, na wengine hata michepuko huwacheka wake wa michepuko yao naweza katiza sehemu ukasikia kicheko mtu anajitizama au nipo uchi kumbe mchepuko wa mmewe umewasimulia wenzie mmewe si chochote nakula hela zake tu dawa ni wote kuacha kuchepuka ili heshima iwepo[emoji28] [emoji28] [emoji28]Anajifariji tu labda mumewe atakuja jf asome huo upuuzi wake amuumize kiaina. Heshima ya mwanamke hupotea pale anapoanza mahusiano nje ya ndoa. Anaanza kudharaulika na huyo bwana anaechepuka nae na kisha jamii nzima itakuja kumdharau. Hata watoto wake wakijua watamdharau. Hata yeye akili ikimrudia atajidharau sana. Maisha ya kuishi kwa kujutia makosa uliyotenda yanaumiza sana moyo. Lazima mwanamke afikiri mara mbili kabla hujaanza kutoka nje ya ndoa yake
Zaidi yako?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usikate tamaa mdogo wangu, utapewa wa kufanana nawe[emoji12]