Wakati mpaka watoto wao hujua kama babazao wanachepuka nakuweka chuki kwababa zao wao hawapati mahitaji mazuri kumbe baba ana mchepuko hapo watoto hawajahadhirika ndiyo huja mke anafundisha watoto wamchukie baba yao wakati si kweli wanaona wenyeweHahaha mbona wanarembesha
Sana. Halafu hao waume za watu wanatongoza wake za watu sijui wanategemea nini.Hawa viumbe wananisikitishaga sana
Eeeh na wao huwa wana tabia tu ya kulaumu wamama kuwa wanawalisha sumu watoto dhidi ya baba zao, lakini wanasahau kuwa watoto wana ufahamu na wanaona yanayotendeka
Wakati mpaka watoto wao hujua kama babazao wanachepuka nakuweka chuki kwababa zao wao hawapati mahitaji mazuri kumbe baba ana mchepuko hapo watoto hawajahadhirika ndiyo huja mke anafundisha watoto wamchukie baba yao wakati si kweli wanaona wenyewe
Teh afu bado wanategemea wake zao wawe waaminifuSana. Halafu hao waume za watu wanatongoza wake za watu sijui wanategemea nini.
Sana. Halafu hao waume za watu wanatongoza wake za watu sijui wanategemea nini.
Ndiyo ujiulize hapo unatongoza mke wa mtu halafu mke wake yy awe salama sijui hizo akili zao huzitumia vipi unajiuliza hawa watu walirogwa na nani? Au mchawi kafa na kaburi halijulikani kuna watu waligongana guest kila mtu na wakeTeh afu bado wanategemea wake zao wawe waaminifu
Walaumu tu pressure tutakuwa nazo wote mpaka wabadilike tabia za uzinziEeeh na wao huwa wana tabia tu ya kulaumu wamama kuwa wanawalisha sumu watoto dhidi ya baba zao, lakini wanasahau kuwa watoto wana ufahamu na wanaona yanayotendeka
Hahaa ila hapo utakuta mwanaume ndo kaanza kumdunda mkewe tena while wamefumaniana. Afu si wanasemaga mwanaume hafumaniwi tehNdiyo ujiulize hapo unatongoza mke wa mtu halafu mke wake yy awe salama sijui hizo akili zao huzitumia vipi unajiuliza hawa watu walirogwa na nani? Au mchawi kafa na kaburi halijulikani kuna watu waligongana guest kila mtu na wake
Mkuu akikujibu 'ndiyo' bila nyongeza ya maneno nishtue.Anamlaumu mwanamke kwa kuchepuka lakini yeye mwenyewe ameoa na anachepuka na mke wa mtu.Umeoa?
Simaanishi wanaume wachepuke.... Lakini wajilinde zaidi.. ..wasije wakarithisha watu mali si zao.Kweli? Mie nilikuwa sijui kama mke akichepuka anachafua familia, kwahiyo mwanaume akichepuka analembesha familia?
Jamani mie nimetoa maoni yangu juu ya madhara ya kuchepuka.... Bahati nzuri dini yangu imeniruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja.... Kwa hio nikizidiwa nitaoa wa pili..... Lakini sina mpango wa kuchepuka.Nyie mnachepuka na kina nani km sio sisi wanawake?
Hahaha mbona wanarembesha
Kweli? Mie nilikuwa sijui kama mke akichepuka anachafua familia, kwahiyo mwanaume akichepuka analembesha familia?
Sio wote demi.... Ni watu wasioelewa madhara ya uchafu wa zinaa. Awe mke awe mume.Sana. Halafu hao waume za watu wanatongoza wake za watu sijui wanategemea nini.
Yani mwingine dini inamruhusu kuoa wake wanne ila bado tu anachepuka khaaJamani mie nimetoa maoni yangu juu ya madhara ya kuchepuka.... Bahati nzuri dini yangu imeniruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja.... Kwa hio nikizidiwa nitaoa wa pili..... Lakini sina mpango wa kuchepuka.
Hawa wanaotongoza wake za watu ndo wabaya zaidiNdiyo ujiulize hapo unatongoza mke wa mtu halafu mke wake yy awe salama sijui hizo akili zao huzitumia vipi unajiuliza hawa watu walirogwa na nani? Au mchawi kafa na kaburi halijulikani kuna watu waligongana guest kila mtu na wake
Nani huyo anaeulizwa tena?Mkuu akikujibu 'ndiyo' bila nyongeza ya maneno nishtue.Anamlaumu mwanamke kwa kuchepuka lakini yeye mwenyewe ameoa na anachepuka na mke wa mtu.
Huyo ana nyota ya... Ni kweli wapo... Nimewahi kumwona mmoja.Yani mwingine dini inamruhusu kuoa wake wanne ila bado tu anachepuka khaa
Vizuri mkuu. UsichepukeJamani mie nimetoa maoni yangu juu ya madhara ya kuchepuka.... Bahati nzuri dini yangu imeniruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja.... Kwa hio nikizidiwa nitaoa wa pili..... Lakini sina mpango wa kuchepuka.
Sina nia hio moyoni... Mungu aniepushieVizuri mkuu. Usichepuke
Mkuu soma [HASHTAG]#2248[/HASHTAG]Nani huyo anaeulizwa tena?
Ha ha ha ha haMkuu soma [HASHTAG]#2248[/HASHTAG]
Ni kweli mkuu zinaa haikubaliki kote kote. Nilitaka tu kufahamu kutoka kwa wanaume wachepukaji ambao hawataki wake zao wachepuke..je huwa wanachepuka na wanawake wa aina gani? Maana wengi tunaona mume wa flani anachepuka na mke wa flani. kwanini wasiache kutongoza wake za watu? Watongoze wasichana wasioolewa kidogo nitaelewa.Sio wote demi.... Ni watu wasioelewa madhara ya uchafu wa zinaa. Awe mke awe mume.