Kuchepuka ni asili yetu

Kuchepuka ni asili yetu

Mbona hio iko wazi sana, Unampenda kwasababu ya mavazi au muonekano au pesa au perfume kama mmoja wa Dada zetu alivyosema juzi hapa jukwaani kuwa anawapenda sana Brothers za Benki........

Ukifika huko unakutana na vitu vya tofauti kabisa kabisa, ndio unaanza kujiuliza, hivi huyu nae ndio yule kweli au nimekosea?? Niliwahi kuwa na demu mkali sana wakati niko UDSM, ni mzuri kwa kila kitu ni Mnyiramba! Niko Fourth Year yeye yuko First Year, duh mwanangu alikua ananuka kikwapa ni balaaa, ila akiwa nje anavyotembea, na hio jinzi ilivyomkaa, lazima upigane umapte!!

Ni hatari sana tunapomtafuta mtu au kujmpenda mtu kwa ajili ya maumbo, muonekano au mavazi n.k na kuyaacha mambo mengine ya msingi.

Ni hilo tu kwa leo
 
No comment
 
Kumbe mimi nina matatizo!! Ngoja nami nichepuke sasa!
 
kuchepuka ni hulka yamtu si lazima, mfano mi tangu nilipompata mr 2008 had ndoa 2011 had leo tuna 2kids sijathubutu nasijafikiria, mchepuko si dili
 
Kuchepuka kama unavyoiita ni tamaa tu tena za muda mfupi. Ushaona mchepuko unakuwa mrefu, hapana ni kajisehemu kafupi tu. Kwa kingereza wanasema "Diversion" alafu unarudi njia kuu.
 
Chakula kizuri huliwa na wengi~ haya tumia uwezavyo !!! Cheza salama !!
 
Asalam Jamii,

Iko ivi unakuta mtu anahitaji kitu tena kwa viapo “ooooh jamani mimi nikimpata fulani apo ndio mwisho wangu yaani nitatulia yani brabra nyingi. Ila sasa akimpata wiki tu ataanza vijimaneno “oooh mtu mwenyewe yupo hivi mara kafanya vile, mara yupo ivi yaani ili mradi tu atafute pakutokea” Nilichogundua ni kwamba sisi binaadamu haturiziki hata iweje

Sisi wanaume hata tuwe namsichana mzuri kiasi gani lazima tutatamani kutoka nje tu na kina dada hata uwafanyie nini kazi bure tu ukiwa na kibamia tatizo ukiwa umejaliwa tatizo, ukiwa tajiri tatizo na ukiwa maskini ndio kabisa #ukitaka cha pekeako chuma mgomba uweke ndani #tuvumiliane tu na kuheshimiana ila kuchepuka hakuna tiba.

Hii ni chungu kumeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom