bitebo7
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 858
- 601
Asalam Jamii,
Iko ivi unakuta mtu anahitaji kitu tena kwa viapo "ooooh jamani mimi nikimpata fulani apo ndio mwisho wangu yaani nitatulia yani brabra nyingi. Ila sasa akimpata wiki tu ataanza vijimaneno "oooh mtu mwenyewe yupo hivi mara kafanya vile, mara yupo ivi yaani ili mradi tu atafute pakutokea" Nilichogundua ni kwamba sisi binaadamu haturiziki hata iweje
Sisi wanaume hata tuwe namsichana mzuri kiasi gani lazima tutatamani kutoka nje tu na kina dada hata uwafanyie nini kazi bure tu ukiwa na kibamia tatizo ukiwa umejaliwa tatizo, ukiwa tajiri tatizo na ukiwa maskini ndio kabisa #ukitaka cha pekeako chuma mgomba uweke ndani #tuvumiliane tu na kuheshimiana ila kuchepuka hakuna tiba.