we muache achepuke tuu,,,, jamaa yake mueleze in-direct......ukimuambia kifala atahisi unavizia demu wake,,,,tumia busara sana kumuokoa jamaa.
Ndugu ruhi kuna vitu tunafanya kwa mazoea, Tabia, Tamaa, Nguvu za giza(pepo), kujitakia, shauku, kuamua na vingine tunafuata tu mkumbo au maneno ya vijiweni. Ni ngumu kujua huyu anasumbuliwa na kipi hapo juu ili umsaidie.
Ukiongea naye kama nawe ukimsapoti anachofanya au ukawa hueleweki (kwa muda) unaweza ukajiridhisha ni kipi kati ya hivyo ili umshauri sawasawa na hitaji lake. vingenevyo hutaweza kumsaidia kwa urahisi kwa namna moja au nyingine.
Iwapo anapata mahitaji yote kwa jamaa yake basi binti ana pepo la ngono. Labda mshauri jamaa amuoe kabisa na kwa kuwa watakuwa wanaishi wote anaweza kuacha uchepukaji.Demu anapata kila kitu kwa jamaa, kweli watu wengine hawaridhiki!
Iwapo anapata mahitaji yote kwa jamaa yake basi binti ana pepo la ngono. Labda mshauri jamaa amuoe kabisa na kwa kuwa watakuwa wanaishi wote anaweza kuacha uchepukaji.
Demu anapata kila kitu kwa jamaa, kweli watu wengine hawaridhiki!
umejuaje anapata.kila kitu???kama jamaa ako ni jogoo la kuchora??haliwiki utajuaje???
Alisema ata angekua mimi angechepuka, amejuaje kua nami jogoo langu haliwikii? Huyu hata umpe nini atachepuka tu....chanzo cha haya ni nini?
Demu anapata kila kitu kwa jamaa, kweli watu wengine hawaridhiki!
Demu anaaga jamaa kua anaenda kusalimia ndugu yake kumbe anaenda kwa mchepuko wake, unadhani wakiishi pamoja hataweza kuchepuka?
ntajuaje kama linawika wakati.sijakaa nalo ili nisikie kama alfajiri litawika???
katika mahusiano hakuna mtu anaetoa kila.kitu binadamu wa.hivo hayupogo