Kuchelewesshewa fedha ya Kujikimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchelewesshewa fedha ya Kujikimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Johnson, Feb 2, 2012.

 1. B

  Baba Johnson New Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali imetoa maagizo kwamba ajira mpya zinavyotoka watumishi wasicheleweshewe fedha za kujikimu lakini ali tofauti kwa manicipaa ya LINDI.
   
 2. b

  batadume Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sasa wadau wilaya ya mufindi nikilio tuuuuu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  dom tayari...sijui kwingine
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nina dadangu ameajiriwa january hii kilimo na mifugo wilaya ya moja hapa nchini na kapewa barua na Mkurugenzi wa maendeleo wa Wilaya kuwa hawatalipwa kujikimu na mshahara hadi mwezi wa nne, hata sijui nimsaidieje mdogo wangu tena wa kike!!!! na kazi ashaanza!!!!!
   
 5. B

  Baba Johnson New Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi raisi anafahamu swala hili? mbona wanawatesa watoto wa watu.
   
 6. Z

  Zedikaya Senior Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye taarifa kuhusu tanga jiji,
  wanalipa tafadhali kuna sister hapa anahitaji kuelewa
   
 7. h

  henry mramba Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanga jij bado hakueleweki wamesema hela bado hazijaja na mkurugenz amesema ametuma maafisa elimu watatu kufuatilia amesema labda baada ya siku saba taarifa za leo nimetoka kuripot
   
 8. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wengine wanalipwa kwa siku 14, wengine siku 7 yani hawaeleweki.
   
 9. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba utuambie wapi wamelipa kwa siku 14 na wametumia waraka wa lini ili tuzibane halmashauri zinazolipa kwa cku 7!..jb plz-
   
 10. Z

  Zedikaya Senior Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu habari zako ni kweli tupu,
  kwani hata mimi mwenyewe nimefika nikaambiwa hivyo hivyo, na mbaya zaidi nikaambiwa kuwa D E O alikuwa mkali kama mbogo kwa waalimu walioripoti tangu j5,
  pia nimeambiwa kuwa mkurugenzi ni mchakachuzi balaa,
  dah walimu tunakandamizwa sana ,
  mwenye uwezo kutusaidia tafadhali
   
 11. L

  Luiz JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo mbeya nako bado hawajalipa wanasema fedha haijafika.
   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Watu wa Dsm fedha zenu mje wote mchukue Jumatano,baada ya hapo mtaenda wenyewe hazina kumdai Mkulo.
   
 13. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kama hamuwezi kujisaidia nani wa kuwasaidia kazeni buti mkiwachekea mtakiona mpigie Mlugo au wa tamisemi
   
 14. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  poleni sana wapiganaji wetu
   
Loading...