Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Hakuna MWANAUME Aliyechelewa Maisha Wala Hakuna Mwanaume Aliyewahi Maisha kila Mmoja Ana Nafasi Ya Kuwa Bora Cha Msingi Ni Kupeana Heshima Na kupeana Moyo.
🤣🤣🤣🤣Kuchelewa maisha ni pale unapoenda town asubuhi unakuta tayari watu wapo,unaaenda bar unakuta tayari watu wamelewa, unachukua mzigo unakuta tayari bikra imetolewa
Hapana kaka kupo.... Kuna hard workers ambao tayari at 40 wameshapata muelekeo wa maisha halafu kuna ambao jua linawachwea Lakini hawana hata kibandaHakuna MWANAUME Aliyechelewa Maisha Wala Hakuna Mwanaume Aliyewahi Maisha kila Mmoja Ana Nafasi Ya Kuwa Bora Cha Msingi Ni Kupeana Heshima Na kupeana Moyo.
View attachment 1167906
Kuchelewa kupo mkuu...kwa mfano, kuna ma-agemate wako uliokuwa nao utotoni, wana familia, wanamaisha mazuri, wana amani na ndoa zao,...Lakini wewe (mfano unaendelea) huna mbele wala nyuma, huna hata geto la kupanga (unaishi kwa ndugu au kwenu), kama kuna watu ulisoma nao wao wana masters na ma-phd wewe una diploma, mdogo wako wa nne kukufata ana watoto watatu wewe hata mmoja huna na hapo we sio mgumba wala tasa..hapo utasema bado hujachelewa...ni mifano tu mkuu sipingani na hoja yakoHakuna MWANAUME Aliyechelewa Maisha Wala Hakuna Mwanaume Aliyewahi Maisha kila Mmoja Ana Nafasi Ya Kuwa Bora Cha Msingi Ni Kupeana Heshima Na kupeana Moyo.
View attachment 1167906
Kuchelewa kupo mkuu...kwa mfano, kuna ma-agemate wako uliokuwa nao utotoni, wana familia, wanamaisha mazuri, wana amani na ndoa zao,...Lakini wewe (mfano unaendelea) huna mbele wala nyuma, huna hata geto la kupanga (unaishi kwa ndugu au kwenu), kama kuna watu ulisoma nao wao wana masters na ma-phd wewe una diploma, mdogo wako wa nne kukufata ana watoto watatu wewe hata mmoja huna na hapo we sio mgumba wala tasa..hapo utasema bado hujachelewa...ni mifano tu mkuu sipingani na hoja yako
Maisha ni vitu na uhai wako kwa pamojaTofautisha kati ya maisha na vitu
🤝Kila mtu ana maana yake hukusu maisha, sasa unaposema unachelewa au unawahi maisha ni vigumu ku generalize... mwingine kuwahi maisha ni kuzaa na watoto 9 hadi 12 kabla ya kufika umri wa miaka 40.
Mwingine kuwahi maisha ni kuoa wanawake zaidi ya 2 akiwa na umri wa chini miaka 26, Mwingine kuwahi maisha ni kujenga kabla ya kufikisha umri wa kustaafu yaani 60.
Maisha hayana kanuni.....
kuja kwako humu kumenifanya niinuliweWalio wahi kufanikiwa wanawahi kufa ivyo wana maliza ya kwao mapema mliochelewa msife moyo NYIE MTAZEEKA NA ELA ZENU.
