Kuchelewa na kuwahi kupo jamani tuache kujifariji
hivi kipimo cha maisha mazuri ni kipi?Kuchelewa kupo mkuu...kwa mfano, kuna ma-agemate wako uliokuwa nao utotoni, wana familia, wanamaisha mazuri, wana amani na ndoa zao,...Lakini wewe (mfano unaendelea) huna mbele wala nyuma, huna hata geto la kupanga (unaishi kwa ndugu au kwenu), kama kuna watu ulisoma nao wao wana masters na ma-phd wewe una diploma, mdogo wako wa nne kukufata ana watoto watatu wewe hata mmoja huna na hapo we sio mgumba wala tasa..hapo utasema bado hujachelewa...ni mifano tu mkuu sipingani na hoja yako
😁😁😁😁😁Ukute kidume umechelewa maisha halafu kitandani unawahi kumwaga...
lakini wote wanaitwa matajiri au sio?Mnajazana ujinga humu ndani.
Huwezi kumfananisha mtu aliyetajirika akiwa na miaka chini ya 30 na yule aliyetajirika akiwa na miaka zaidi ya 70 kuna utofauti mkubwa mno kuanzia kimawazo,kimtazamo, lifestyle nk.
Ukute kidume umechelewa maisha halafu kitandani unawahi kumwaga...
Good shelter, cloth and foodhivi kipimo cha maisha mazuri ni kipi?
okGood shelter, cloth and food