Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

Wameamua kuisingizia system huko HAZINA. Kuna kila dalili kuwa ndizo zimetumika katika chaguzi ambazo sijawahi ona rushwa ikizitawala toka nizaliwe. Inawezekanaje tatizo la mishahara liwe la miezi miwili kabla ya uchaguzi wao!!!!! Ama kweli sisi tu wazalendo asilia
 
kazi kweli tutakula nyasi kwa style hii tuweni makini na ccm pamoja na serikali yake
 
so sorry mishahara yenu mtapata tarehe 12 .....pesa tulifanyia mambo muhimu ya nchi.
1. Uchaguzi wa chama
2. Kasherehe kadogo ka kumuaga bwana manyota pamoja na kale kazawadi ka gari
3. Kupeleka walinda mipaka kule kwenye lile ziwa lenye mgogoro
4. Ufunguzi wa kile chuo kule kaskazini
.....NATUMAI MMENIELEWA.......
 
Habari wana JF!!
Mpaka ijumaa hali ilikuwa tete sana kwa wafanyakazi wengi wa serikalini,hivyo naomba nijuzwe kama
serikali sikivu imeshawawekea mishahara yao, maana kuna wadeni wangu naogopa kuwadai
Wasije pata presha bure...!!
 
mshaitwa mbayuwayu mara ndege kong'ota bado hamkomi mnawalamba visigino tu kila baada ya 5years,ila msiwe na wasi pesa zenu anazo zungu kwenye kapu anawagaia magamba wenzie nyie mlie tu mpka tarehe 10!!ninaandika hivi ila nina machungu wife ananitegemea nitoboke mpaka chumvi home.
 
Huyu anayedai Mishahara ni katibu wa Magamba au anacheo gani CCM?
Masuala ya Mishahara ya CCM cc yanatuhusu nini?
 
Mbona mkipewa hamsemi mkikosa mnatangaza pelekeni umbea wenu huko
 
Sasa kama swirikali haikujali, wewe umeinga'ng'ania tu? Si uachane nayo?
 
Miye Bosi wangu ni dini nyingine hawezi kunipa mshahara wala posho ila ingekuwa ile sikukuu nyingine angenipa tena mapema tu, ujanja nilioufanya nimebakiza baadhi ya vihela vyangu ili nile ubwabwa mchafu 'Chakula cha Peponi'.



WACHA WEEEH
:smile: :smile:
 

kaka hapo mia mia tena ungepiga shoka hiyo kichwa ngumu ili wengine wakiona wajifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…