Kuchelewa kukojoa /kupiga bao/ kupizi

blackb

Member
Mar 30, 2017
99
113
Samahani ndugu zangu, kuna hili swala linanichanganya sana.

Mimi nimekuwa na kawaida ya kufanya mapenzi mara kadhaa kama ilivyo kawaida ya mwanaume, lazima upizi ili tendo ulifurahie.

Tatizo langu ni kuchelewa kupiga bao yaani kipindi natafuta bao la kwanza huwa nafanya kwa muda wa kati ya dakika 20-36, na bado sipizi inanibidi nipumzike napumzika baada ya dakika 10 napanda tena dakika kat ya 10-19 ndo naweza kupizi.

Ushauri naomba, je hili sio tatizo kweli maana napumzika sio kama napenda ni uume unalala wenyewe.

Na uume wangu ni nchi 8 na niliwahi kuwa mwanachama hai wa chaputa msema kweli mpenzi mwana wa Mungu.

Tatizo ni nini jamani?
 
Una umri gani kwanza,usije ukawa mzee kijana halafu unataka u-perform kama kijana wa miaka 20.
 
Kwa urefu huo, inafikia tgo yko mwenyewe,ka iko tite, jaribu tuone ka utachukua round.
 
Pole sana ndugu. Hapo tatizo ni ni hiyo chaputacology imeingia kwenye medula oblangata na kuweka kutu kwenye misuli ya epididimis ambayo inapeleka hewa ya carbon polyxide kwenye nyongo. Hali hiyo upelekea misuli ya uume kwa kitaalamu inaitwa pancreatic urethra kukukamaa na kushindwa kufikia kileleni. - umeelewa?!
 
Hadi nimecheka
Ukijua medicine
Utavinjari sana
 
Samahani ndugu zangu, kuna hili swala linanichanganya sana.

Mimi nimekuwa na kawaida ya kufanya mapenzi mara kadhaa kama ilivyo kawaida ya mwanaume, lazima upizi ili tendo ulifurahie.

Tatizo langu ni kuchelewa kupiga bao yaani kipindi natafuta bao la kwanza huwa nafanya kwa muda wa kati ya dakika 20-36, na bado sipizi inanibidi nipumzike napumzika baada ya dakika 10 napanda tena dakika kat ya 10-19 ndo naweza kupizi.

Ushauri naomba, je hili sio tatizo kweli maana napumzika sio kama napenda ni uume unalala wenyewe.

Na uume wangu ni nchi 8 na niliwahi kuwa mwanachama hai wa chaputa msema kweli mpenzi mwana wa Mungu.

Tatizo ni nini jamani?
Kuchukua dakika 20 hadi 36 bila kukojoa sio tatizo na ndivyo inavyotakiwa kwani ukikojoa haraka chini ya dakika 20 hutomfikisha kileleni mpenzi wako.

Tatizo hapo ni hicho kitendo cha uume kusinyaa ukiwa ndani ya uke hali imayokufanya uchomoe na kupumzika kusubiri uume usimame tena. Hiyo ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume!!

Tumia asali mbichi changanya na habbat soda ya unga uwe unalamba asubuhi na jioni ili kujitibu hilo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kabla hujakimbiwa na huyo shemeji yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom