ommymbwambo
Senior Member
- Mar 25, 2014
- 192
- 66
Utamaduni tuliojiwekea sidhani kama kuna tatizo mambo yanakuwa mzunguko leo wewe kesho mwingine, maisha yanaendeleaHii tabia ya kumchangia mtu ambaye kimsingi hajakurupushwa ni matakwa yake binafsi michango eti anataka kuoa au kuolewa ni sahihi?mtu mmoja unapewa kadi za uanakamati zaid ya saba na kila kamat mchango laki moja na zaid.maoni yenu wakuu.
Hii tabia ya kumchangia mtu ambaye kimsingi hajakurupushwa ni matakwa yake binafsi michango eti anataka kuoa au kuolewa ni sahihi?mtu mmoja unapewa kadi za uanakamati zaid ya saba na kila kamat mchango laki moja na zaid.maoni yenu wakuu.
Michango sio mbaya kwani ni kusaidiana na kufahamiana zaidi ila kuna wale wanaweka kiwango cha chini labda 50000/= hlf mwenye elfu 30 au 20 je?
Si ndo kujamiiana huko mpendwa? Socializing I mean
Michango sio mbaya kwani ni kusaidiana na kufahamiana zaidi ila kuna wale wanaweka kiwango cha chini labda 50000/= hlf mwenye elfu 30 au 20 je?