Kuchanganyikiwa noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchanganyikiwa noma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by AlWatan Nyuki, Jan 12, 2012.

 1. A

  AlWatan Nyuki New Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja kutoka bara ya Kenya alikuwa anafanya kazi mjini Mombasa. Siku moja, kutokana na msongamano wa magari, alichelewa kufika kazini. Akiwa njiani sehemu za Mwembe Tayari ndani ya matatu (daladala),aliamua kumtumia boss wake message ya kuwa atachelewa kufika kutokana na msongamano wa magari. Alipomaliza kuiandika message kabla hajaituma, mwizi mmoja alinyapa akampora ile simu kwa dirishani. Jamaa kwa kuchanganyikiwa, badala ya kupiga kelele za 'mwizi, mwizi', akawa anamuambia mwizi hivi:
  " Nanii tafadhali bonyeza SEND, bonyeza SEND tafadhali."
   
 2. Complicator EM

  Complicator EM Senior Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamna joke hapa mkuu.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  usicheze na kuibiwa.Nalog off
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Rafiki yangu aliibiwa baiskeli akawa anaitafuta hadi kwenye mfuko wa suruali! Kuchanganyikiwa si mchezo mkuu hata huyo jamaa alikuwa na utu sana alitaka jamaa asend mesaje ili angalau boss ajue atachelewa work
   
 5. b

  bigambo Senior Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijacheka.. Si kichekesho labda mchezo wa kuigiza
   
 6. T

  TUMY JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha ha ha hah :lol::lol::lol:
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  jaribu kulia mkuu.zote starehe.
   
 8. E

  Emaglo Senior Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa kachanganyikiwa
   
 9. M

  Mateka Senior Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwingine aliibiwa computer akasema F1 F1 F1 badala ya kusema Help help
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo, jua haikuhusu...
   
 11. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  mimi nimecheka sana
   
 12. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Ni nzuri inachekesha
   
 13. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata ukiamua kukaa kimya, bora tu umeipata!
   
Loading...