Kuchanganyikiwa noma

Kuchanganyikiwa noma

AlWatan Nyuki

New Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
4
Reaction score
10
Jamaa mmoja kutoka bara ya Kenya alikuwa anafanya kazi mjini Mombasa. Siku moja, kutokana na msongamano wa magari, alichelewa kufika kazini. Akiwa njiani sehemu za Mwembe Tayari ndani ya matatu (daladala),aliamua kumtumia boss wake message ya kuwa atachelewa kufika kutokana na msongamano wa magari. Alipomaliza kuiandika message kabla hajaituma, mwizi mmoja alinyapa akampora ile simu kwa dirishani. Jamaa kwa kuchanganyikiwa, badala ya kupiga kelele za 'mwizi, mwizi', akawa anamuambia mwizi hivi:
" Nanii tafadhali bonyeza SEND, bonyeza SEND tafadhali."
 
Rafiki yangu aliibiwa baiskeli akawa anaitafuta hadi kwenye mfuko wa suruali! Kuchanganyikiwa si mchezo mkuu hata huyo jamaa alikuwa na utu sana alitaka jamaa asend mesaje ili angalau boss ajue atachelewa work
 
Jamaa mmoja kutoka bara ya Kenya alikuwa anafanya kazi mjini Mombasa. Siku moja, kutokana na msongamano wa magari, alichelewa kufika kazini. Akiwa njiani sehemu za Mwembe Tayari ndani ya matatu (daladala),aliamua kumtumia boss wake message ya kuwa atachelewa kufika kutokana na msongamano wa magari. Alipomaliza kuiandika message kabla hajaituma, mwizi mmoja alinyapa akampora ile simu kwa dirishani. Jamaa kwa kuchanganyikiwa, badala ya kupiga kelele za 'mwizi, mwizi', akawa anamuambia mwizi hivi:
" Nanii tafadhali bonyeza SEND, bonyeza SEND tafadhali."

Ha ha ha ha ha ha ha hah :lol::lol::lol:
 
Mwingine aliibiwa computer akasema F1 F1 F1 badala ya kusema Help help
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom