Kuchakaa na ufaulu mbovu wa mara secondary school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchakaa na ufaulu mbovu wa mara secondary school

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by masatujr1985, Apr 11, 2012.

 1. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wadau,Naandika post hii kwa masikitiko makubwa kuhusu shule ya sekondari MARA iliyopo mkoani MARA (Musoma Mjini). Kama mmoja wa ex-students wa shule hii nimebahatika kuitembelea katika kipindi cha hivi karibuni na pia kufuatilia matokeo ya ufaulu wa shule kwa miaka ya hivi karibuni. Hakika, shule imachakaa sana hata maabara ambazo shule zingine wanalilia kutokuwa nazo pale zimeota nyasi hadi mlangoni na jengo lenyewe kuonesha kama halina utunzaji thabiti. Kiujumla hali hii na ufaulu duni wa shule hii ambayo ni nembo ya MKOA, haupendezi kwa wapenda maendeleo na elimu kwa ujumla.Nilichojiuliza ni: je, kuna ombwe la uongozi katika shule hii? (maana hata kwa mkuu wa shule kumechakaa nyasi hadi mlangoni-hii inatoa picha kuwa huenda basi ndiyo sababu hata shule inazeeka majengo na kuchakaa mazingira bila attention ya mkuu). Kwa post hii, naiomba JF isaidie kutoa maoni nini hasa kifanyike na kuushauri uongozi wa SHULE hii kurekebisha hali iliyopo sasa.(NEXT time ntatoa na picha kuthibitisha haya).
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We kama x-student,umetoa mchango gani?
   
 3. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2013
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Toa maoni mkuu,,,tusaidie Kwa mawazo nn tufanye. Asante
   
Loading...